Me nikijana nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa sector binafsi ya Mali asili nina kipato cha kukizi maitaji yote.
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
Rangi yoyote.
maziwa yawe sio makubwa au...
Kuna wakati unatamani kila text inayoingia kwenye simu yako itoke kwake, bahati mbaya inaingia text na unairukia simu kutaka kuisoma, unakuta ni text
ya yule usiye na feelings naye akikwambia " I...
Hawa ni miongoni mwa wanaume ambao kwa dada zetu wengi tu hapa duniani wanawamezea mate.Mmoja anaitwa William Levy anatokea CUBA na mwingine anaitwa John Dumelo anatokea GHANA.Hakina wanalalamika...
Naombeni ushauri.
Nina mpenzi wangu tunakaribia kumaliza mwaka sasa. Kukutana kwetu ni mara chache sana kutokana na masomo.
Kusema kweli tokea tumeanza mahusiano sijawahi pokea hata shs 10 toka...
Acceptance. Too many people talk about tolerance, but great couples don’t “tolerate” each other’s quirks and differences — they accept them. They celebrate their similarities AND their unique...
Habari zenu ndugu zangu .
Mimi nina mchumba wangu ambaye tunapendana sana lakini tunapishana kwa kitu kidogo sana yeye yuko mbali na mimi yeye yuko Dar es salaam mimi nipo Mtwara kwa hiyo huwa...
Habari zenu wana JF,
Mke wangu anawahi kufika kileleni mapema sana kuniacha mimi na akifika hataki kabisa kurudia. Tukianza mechi ndani ya dk 10 tu anafika, wakati anapofika upiga kelele kweli...
Tunapozungumzia upendo, ni hisia zinazotoka moyoni mwa mtu. Mtu anaposema "Nakupenda kutoka moyoni" hana maana kuwa moyo ndio unaokupenda bali hisia zake za moyoni zipo kwajili yako. Unajikuta...
Natumai wote wazima humu....kwa hakika ningependa tubadilishane mawazo jinsi ya kudeal na mama mkwe na mawifi wakoro bila kumfanya mumeo akuchukie..mfano mimi mama mkwe wangu ni mkorofi sana na...
Kitu ninachokipenda kwa mpenzi wangu ni uvumilivu na hana tamaa za hovyo hovyo. Kama ana shida ya hela nikimwambia sina, kwa upole ananiambia haina shida ukipata utanipa, hanuni wala habadiliki...
Hii ni ya kweli nimesimuliwa jana naomba wazazi mjifunze kitu tafadhali.
Kuna binti wa chuo kimoja hapa jijini anatokea Bukoba sasa jamaa yangu akaanzisha nae mahusiano ya kimpenzi. Jamaa hakuwa...
...unadhani ni kitu gani au jambo gani ukimfanyia mpenzi wako either wa kike au wa kiume, atafurahi zaidi na kuzidisha mapenzi kwako/ akae akikukumbuka kila wakati na kutoenda kwa mwingine, means...
Siku ya tarehe 27.03.2015 nilienda duka kubwa la dawa ili nikanunue kifaa hicho muhimu sana. Pharmacy hiyo ni ya kiwango cha juu kwani imefuata taratibu zote za TFDA, mazingira yake yanaridhisha...
MMU!
Ni utumwa au Uhuru? Ukiwa katika mapenzi, unakuwa hauna privacy. Muda wowote mpenzi wako anaweza akachukua simu yako na kuipekua.
Wengine unakuta mpenzi wako anakuwa na passwords zako za...
Habari wakuu.
Wakuu kusema ukweli wanawake warefu wanaukonga sana moyo wangu. Wanawake wafupi itokee tu basi, ila moyo wangu hasa unavutiwa sana na wanawake warefu.
Mwanamke mrefu hasa ukitembea...
Habar wanaJF,
Naomba msaada wa kimawazo katika hili,
Ni hivi, nilikuwa na mpenzi tuliyetengana miaka miwili iliyopita, yeye alikuwa na mtu mwingine mi nikaendelea na mishe zangu. Wakati wote...
Habari wakuu!. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya uchunguzi usio rasmi kwenye jamii yetu juu mahusiano Kati ya wanawake dhidi ya wanawake wenzao Na pia wanaume dhidi ya wanawake.
Pamoja Na harakati...
Habari za siku ya leo wana jf hasa mtaa huu wa MMU
Ndugu zangu hili nalishangaa sana katika pita pita zangu nimepata mwanamke mmoja kinachonishangaza hataki tuwe wapenzi. Yeye aliniambia ana mtu...