Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hi, I'm a man ageing between 23-26 years old and 178 cm tall. I'm currently a student at a certain institute here in Dar. I would like to meet my life partner ageing 18-25 years old, I would...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, nina swali naomba majibu yake: Kwamba utakuta mwanamke ana papuchi kubwa ambayo sio saizi yako halafu unamgegeda na unasikia kabisa kwamba haimkuni kisawa sawa maana papuchi...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
Me ni mtu mstaarabu sana yes I got some weaknesses! Nilikuja hapa kutafuta mtu maana nipo mpweke sana msema kweli mpenzi wa Mungu naombeni mnisamehe.Ni Kweli sina mpenzi ila sikuwa naitaji mtu...
8 Reactions
156 Replies
18K Views
Ni mpenzi wangu kwa muda wa miaka mitano sasa!!! Nampenda sana tena sana. Juzi kapiga simu akasema ana mazungumzo na mimi. Jana kasema tuachane, nilipouliza sababu hakunipa. Inaniuma sana tena...
2 Reactions
96 Replies
12K Views
nimefuatilia familia nyingi zinazokuwa tayari wameambukizwa virus vya vvu huwa unakuta mke na mume wameadhirika ila anayeanza kuchoka au hata kutangulia kufa huwa ni mwanaume sasa huwa najiuliza...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Poleni na majukumu ya kutwa nzima wakuu, Nimekuwa na mahusiano na mpenzi wangu kwa zaidi ya mwaka sasa, bali tabia yake ya hasira na kutokuwa mvumilivu vimekuwa ni changamoto kubwa kwangu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tuweni wakweli katika hili ... Kutoridhika na mwenzi wako ndo sababu kuu ya kukufanya uchepuke. Kama kuna sababu nyingine naomba uiweke haba ili turekebishane tabia ...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Sitaki kuongeza chumvi wala pilipili:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari, Kuna jambo nataka ni shere nanyi. Kuna bwana mmoja yeye ni muathirika wa HIV na nilijua kupitia dada yangu, huyo bwana na dada yangu walikuwa ni wapenzi wa mda mrefu sana, baadae huyu...
7 Reactions
62 Replies
5K Views
Kama una swali lolote kuhusu; Girlfriend Mchumba Mke Mchepuko Mama mkwe Shemeji Uliza nipo na mashosti zangu hapa tutakujibu on time
7 Reactions
380 Replies
40K Views
Nina rafiki yangu ambaye urafiki wetu una muda mrefu kidogo na amenizoea sana amekuwa akiniomba ushauri kwa lolote yuko huru nami namuona kama mtu wangu wa karibu sanaa. Kuna mtu aliwahi kuniambia...
0 Reactions
57 Replies
14K Views
Jamani mwenzenu hali siyo shwari !! Namwonea huruma huyu mwanaume anayekwenda kumuoa huyu binti ambaye anakwenda kuolewa kwa show off!! Ilikuwa hivi, Mwaka 2010 nilikutana na dada mmoja, single...
2 Reactions
59 Replies
9K Views
Wakuu, Naheshimu mkataba wa milele wa ndoa ya kikiristo, na sio mshabiki wa ufahari wa siku moja. Naomba ya jinsi gani nifanye sherehe ya harusi isizidi milioni moja, labda kuna watu wengine...
6 Reactions
105 Replies
17K Views
Habari zenu wakuu? Hivi sasa kumekuwa na mmomonyoko mkubwa wa maadili, jambo moja wapo kubwa ambalo limechangia ni utandawazi. Nimesema nguvu imewashinda wazazi kwasababu wenyewe ndio walimu wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
I hope mko wazima wote, Leo nina swali kwa wamama; mtoto akilia, inakuja naturally unajua anataka nini? Au una guess kimoja baada ya kingine?
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Wakuu, Jana mida ya saa mbili usiku wakati natoka mazoezini nimekutana na couple kama mbili tofauti wakiwa wamekumbatiana na huku wakionyeshana mahaba mazito njiani. Wazo likanijia kuwa hii sio...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Kuna ukweli wowote kuwa wanawake waliokeketwa hawajawahi kuwa satisfied kimapenzi hata wakutane na mwanaume fundi kiasi gani? Nimeuliza haya baada ya kukutana na kisa mtaani. Kuna binti mmoja...
5 Reactions
189 Replies
80K Views
Kataa au ukubali, wale wa bibilia, kaini alimuua ndugu yake wa damu kisa kafanikiwa kwenye Dhabihu kuliko yeye. Hayo ndio yanayoendelea mpaka leo hapa duniani. Kama unategemea ndugu yako wa damu...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yangu ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji...
7 Reactions
119 Replies
19K Views
Ivi ni kweli kwamba mwanaume handsome anakubalika zaidi kuliko mwanaume mwenye pesa. Mi naona kama sio wote wanaoshoboka na pesa. Hata kama unapesa utaishia kuliwa pesa zako buree. Wanawake nao...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…