Ushauri: Rafiki yangu anafanya mapenzi ya jinsia moja

Ushauri: Rafiki yangu anafanya mapenzi ya jinsia moja

sowmya

Senior Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
109
Reaction score
41
Nina rafiki yangu ambaye urafiki wetu una muda mrefu kidogo na amenizoea sana amekuwa akiniomba ushauri kwa lolote yuko huru nami namuona kama mtu wangu wa karibu sanaa. Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa huyo rafiki yako anajihusisha na mapenzi na watu wa jinsia yake, mimi sikuamini nikajua ni umbea tu wa watu nikapuuzia ila cha kushangaza juzi yeye mwenyewe kaniambia.

Akasema una kifua! Kuna kitu nataka nikwambie nikasema sema chochote usiwe na shaka akaniambia dada yangu unajua kuwa mimi ni shoga dahh nikapatwa na mshangao kwanza nilijua ananitania ila akasema huo ndio ukweli ila akasema kwa sasa ana miezi mitatu hajafanya mchezo huo na akaniomba mie nimsaidie ili aache tabia hiyo eti ataiacha kabisa endapo nitakuwa upande wake na ukimuona huwezi jua kama anafanya huo mchezo jinsi alivyo ni tofauti sana na matendo yake nimsaidiaje best yangu huyu.
 
Nina rafiki yangu ambaye urafiki wetu una muda mrefu kidogo na amenizoea sana amekuwa akiniomba ushaur kwa lolote yuko huru nami namuona kama mtu wangu wa karibu sanaa

Kuna mtu aliwah kunambia kuwa huyo rafiki yako anajihusisha na mapenz kwa watu wa jinsia yake mie sikuamin nikajua ni umbea tu wa watu nikapuuzia ila cha kushangaza juzi yeye mwenyewe kaniambia

Akasema una kifua kuna kitu nataka nikwambie nikasema sema chochote usiwe na shaka akaniambia dadaangu unajua kuwa mie ni shoga dahh nikapatwa na mshangao kwanza nilijua ananitania ila akasema huo ndio ukwel ila akasema kwa sasa ana miez mitatu hajafanya mchezo huo na akaniomba mie nimsaidie ili aache tabia hiyo eti ataiacha kabisa endapo nitakuwa upande wake na ukimuona huwez jua kama anafanya huo mchezo jinsi alivyo ni tofaut sana na matendo yake nimsaidiaje best angu huyu
Homosexual inayoniumizaaga akili ni ile ya ME tu, yaani mwanaume kumpiga ukuni mwanaume mwenzake....lakini hiyo ya kwenu wanawake, I don't care!!! endeleeni kuchomana vidole tu coz ipo siku mtaacha.Mbona lile jike***** aliacha???.
 
[emoji23] [emoji23][emoji23] si yetu haina madhara makubwa ila hiyo yenu[emoji125]
 
Homosexual inayoniumizaaga akili ni ile ya ME tu, yaani mwanaume kumpiga ukuni mwanaume mwenzake....lakini hiyo ya kwenu wanawake, I don't care!!! endeleeni kuchomana vidole tu coz ipo siku mtaacha.Mbona lile jike***** aliacha???.
Mwanaume huyo
 
[emoji2] [emoji2] zote hatari bana
 
Homosexual zote ni dhambi mbele ya macho ya Mungu na sio kusudi la Mungu watu wa jinsia moja kuwa wapenzi. Hali hii inaweza kusababisha hata laana na mikosi katika jamii.

Mshauri huyo jamaa amrudie Mungu wake hata kwa kuwatumia watumishi wa kweli.
 
Sio wote ni waumini. Wengi tu hawaamini Mungu..japo siungi mkono homosexual
 
Una urafiki na mwanaume kiukwel mim huwaga sina rafiki wa kike unipite hivi hivi in mukandara's voice
 
Kwanza kama mmeshaDo lile tendo ebu hakikisha ajjakupa virusi alafu umfikirie sasa
 
Back
Top Bottom