Kwa wanaume tu: Kama una swali lolote kuhusu mapenzi uliza

Kwanini demu wangu ananiambia amenimic harafu nikimwambia aje geto anakataaa?
inategemea na huko gheto kuna nini? atakuwa kakumiss kimoyo na sio kimwili ...mwenzako ana mapenzi ya hisia wewe upo kingono...anakupenda kweli ila hataki ngono na hapo anajua akija no way lazima utamgegeda sasa anakukwepa kidiplomasia tu kwa kutokuja gheto kwako ...ila ni kweli anaweza kuwa anakupenda.
pia anaweza kuwa hakupendi anakupetpet tu na maneno mazuri kukuweka karibu ili labda baadae akupige mzinga...kwaiyo jiandae kurusha salio
 
Hapo naona kuna kaukweli fulani sawa nimeata jibu . Ahsante xn
 
Back
Top Bottom