Hook Up, no strings - Uhuru wa Mapenzi

Hook Up, no strings - Uhuru wa Mapenzi

RJ-White

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Posts
744
Reaction score
752
Kwa ufupi kabisa, natafuta girl anayefanya kazi Dar city centre na anatumia public transport. Awe kati ya 20 to 26 years old, asiwe mnene au mfupi. Nahitaji kampani yake kwenye foleni za jiji hili tupige story ndani ya gari langu. Nitampick na kumdrop. Ali Hassan Mwinyi Road. Ni PM.
 
Teh..Mkuu kama swala ni kupiga story,unene na ufupi unahusika vipi?..Wanene na wafupi hawana story?..Nadhani kama lengo ni kampani ya story tu, ungesema unapendelea mtu mwenye interests zipi ili muweze kuendana
Umesema kweli. Ila hata story zinanoga kama anayeongea na wewe yuko vile unavyopenda. Akija mnene asienee kwenye seat itakuwaje?
 
Nadhan ili kupata matokeo mazuri zaid weka na aina ya gari unayotumia...eg bmw....discovery 3....murrano....passo....starlet...etc....hii itasaidia kukupa best result ....!
 
Yawezekana unatafuta binti wa kufanya nae ngono kwenye foleni wewe..

Hizi tafsida siku hizi.!
 
Yawezekana unatafuta binti wa kufanya nae ngono kwenye foleni wewe..

Hizi tafsida siku hizi.!
Hapana. Umewaza mbali sana. Lakuni ni kweli kuwa na binti kwenye foleni mmeweka mziki laini baada ya kazi za kutwa nzima au kusikiliza Jahazi ya 88.5 kuna raha yake...foleni utaona inasogea...
 
Teh..Mkuu kama swala ni kupiga story,unene na ufupi unahusika vipi?..Wanene na wafupi hawana story?..Nadhani kama lengo ni kampani ya story tu, ungesema unapendelea mtu mwenye interests zipi ili muweze kuendana
May be suala la size ya sit bro....
 
Kwa ufupi kabisa, natafuta girl anayefanya kazi Dar city centre na anatumia public transport. Awe kati ya 20 to 26 years old, asiwe mnene au mfupi. Nahitaji kampani yake kwenye foleni za jiji hili tupige story ndani ya gari langu. Nitampick na kumdrop. Ali Hassan Mwinyi Road. Ni PM.
Kibaruani kwako kila binti ana usafiri wake?!
 
Back
Top Bottom