Natafta mwanamke/mchumba tutengeneze maisha pamoja!

kimazinka

Member
Aug 15, 2016
77
64
Ndugu zanguni wanaJF najitokeza hapa kwa Mara nyingine!
Mm natafta mchumba/ mke, Elimu yangu ni degree na nina miaka 29. Kwa sasa nipo mtaani nahangaika na maisha, sijaajiriwa ila sijachoka bado napambana, ukweli kiatu kimoja kimeisha tayari kwa ajiri ya mizunguko!

Nimekuja humu kwa kuwa naamini wapo ambao wapo serious na mnapata room ya kujuana na kuridhiana bila kusukumwa na tamaa, kwa kuwa ina kuwa ni something planed.

Ninaamini mda huu ambapo sina kitu ndio ninapoweza kupata mwenye mapenz ya dhati maana ukiwa na kipato kila mtu atakuita bebi, hivyo nataka mke tutafte wote.
Umri wangu ni miaka 29 na nipo dar, mwanamke awe angalau amemaliza form 4 na ana cheti! Mm ni mkiristo but not bold one!

Kikubwa kilichonisukuma ni kuwa rafiki zangu wawili, wameoa na kuolewa kupitia humu, na kwakweli wanaonekana wanajua mini wanafanya, hivyo kwa yeyote ambaye yupo serious aje inbox tafadhali!
Asanteni!
 
Tokea mitandao ya kijamii ishike kasi nchini, imekuwa msaada sana kwa madomo zege, yani siku hizi mke unampata ukiwa kitandani kwako, unamsafirisha (shipment) mpaka geto then anakuwa mke
 
Sio madomo zege mkuu, nyie mnaojifanya wajanja ndo mnajikuta hamueleweki, MNA miaka hadi 40, bado unaishi kama ndo umebarehe, kuna watu wapo very serious humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom