kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,563
- 5,169
Wadau habari zenu,
Natafuta mchumba ili baadae aje awe mke, awe na umri wa miaka 22-27, awe angalau amemaliza form 4 (sababu hapa ni kuwa huyu pamoja na kuwa mchumba/mke atakuwa mshauri wangu au hata kusimamia mipango kadhaa ninayo ifikiria). Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu na nimemaliza Law school nasubiria matokeo, mipango yangu ni kuoa ndani ya miaka hii miwili.