Wakuu,
Mtakumbuka hivi juzi nilipost uzi kuwa namtafuta Eva wangu. Mungu sio Juma Nature, nimepata!! Nilikuwa creative kwenye Post yangu ili nistand out, nisijumuishwe kwenye wahuni wanaotafuta...
Habari zenu ndugu waungwana wa Jamii forums ndani ya jukwaa tamu la MMU.
Jukwaa lenye kila nakshi ya shangwe na amani likiwa limeambatana la mawarda pomoni yenye ushadidi wa kila aina mara chache...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, hii imetokea karibuni kwa rafiki yangu aliekaa kwenye ndoa yake ya isiyozidi miaka 5 iliyokatishwa na dawa za kuongeza nguvu za kiume alizotumia mumewe...
Habara zenu wana jf
Pasipo kupoteza muda ningependa nilisimulie jaribu linalonikabili japo kwa kifupi kama nitaweza,
Mie ni kijana ambae sijafika miaka 30 Nina kazi yangu ambayo inaniingizia...
Maranyingi mafanikio yanaweza kubadili mtazamo wamtu. Mwanaume akiwa amefanikiwa, ana mali na ana uwezo anaweza kumtazama mwanamke kama bidhaa, kama kitu na sio mtu.
Hii inatokea sana kwa...
Wana Board Asalam Alekhum,
Back to the topic.
Takribani miaka mitatu sasa nimedate na wasichana wanne, sio kwa muktadha mbaya ila nikiwa na nia na lengo la kuoa kabisa. Hawa wasichana wa Dar...
Mpo wakuu?
Mimi na Mke wangu tuna mtoto mmoja Wa kike. Nina wa kiume kutokana na uhusiano wangu wa nikiwa chuo kikuu na Mhindi ambaye mlinishauri nikamchukue.Mke wangu amemchukulia kama mtoto...
Mwanaume akikusifia kwa kutembea nyonyo nje, nyie mnaita boobs na makalio yakishika nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati huwa na nia
moja tu, KUKUMEGA, KUKUCHAPA, na KUKUSHIKISHA ADABU...
NDEGE WA PELIKANA: HADITHI YA BIBI
Mimi na mama yangu tuna kitu kimoja tunachofanana. Sote tuna jino moja lililomegeka. Tofauti kubwa huja pale tutakiwapo kuelezea sababu ya kumegeka huko...
Mimi ni msichana, nina biashara zangu, nilikuwa na maisha yangu akatokea mpenzi tukapendana, mapenzi yakakolea nikahamia kwake, pika pakua tunaishi kama mke na mume.
Mawazo yangu tutaoana lakini...
Mfano,umemtongoza binti,umempiga mistari yako nae anakusikiliza fresh tu.baada ya kumaliza kunadi sera zako kwake, yeye anakuambia amekusikia na kukuelewa na atakupa jibu lako siku nyingine...
Habari wapendwa,
Namshukuru Mungu kwa uzima nilio nao hadi wakati huu najua na wewe unasababu yako ya kumshukuru Mungu.
Kuna hili jambo mwenzenu linanikera sana kwa...
Habari za siku tena wana jamvi
Katika pita pita zangu nimekua nikikusanya data hasa hasa hizi za mahusiano kwa vijana wadogo kuanzia miaka 20-26. Nimekutana na hii kisa kwa nini wasichan wengi...
Last year nilikutana na x wangu mmoja ambaye tuliachana 2004. Hii ilikuwa 11 years tangu tuachane. Ki ukweli x wangu alionekana amechoka na mtu wa mawazo sana. Baada ya kumdadisi niligundua kuwa...
Nikweli kua pombe inaweza kukupatia mke au mume bora?!,maana nilisikia kwa mtu mmoja anasema mlevi akiongea jambo linatoka moja kwa moja moyoni(hilo mi sijui maana situmii) ,nikipata mwanamke bar...
Mimi ni mtanzania niliyobahatika kuwa mwajiriwa wa serikalini nahitaji mwenza wa kuoana nae kuanzia miaka 18 - 40 sibagui dini wala kabila aliyetayari awetayari kupima VVU, naomba aliyetayari anipm.
Jambooo JF?
Kifupi mimi hupenda kujifunza na mara nyingi kupitia JF hupenda na wenzangu wajifunze ili twende sawa!
Unapokuwa kwenye ndoa ogopa sana mwenza wako akikuaga anasafiri kwenda mkoa...
Habari!...
Kuna wanaume au wanawake wengi wakigombana tu na wake au waume zao huwa wanatabia ya kunyimana tunda.
Unapomnyima mwenzi wako tunda unasababisha madhara yafuatayo;
1. Kutafuta...