Woman of my dream

tzfanatic

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
626
381
Habari zenu ndugu waungwana wa Jamii forums ndani ya jukwaa tamu la MMU.

Jukwaa lenye kila nakshi ya shangwe na amani likiwa limeambatana la mawarda pomoni yenye ushadidi wa kila aina mara chache ingawa si sana kuna mikwaruzano ya hapa na pale but ni katika harakati za kuwekana sawa.

Jukwaa hili si kuukuu wala si la kisasa na lina utamu aswaa anyway, tuyaache hayo.

Naanza na hivi si hisi kama ndoto bali ni ukweli maaana mara nyingi kitu hiki huwaga chani jia akilini, sometime najaribu kukipotelea but akilini chanikaa hata nikisema leo kesho chaingia.

Anyway kitu chenyewe si haba na wala si kikubwa sana katika maisha yangu na ndoto zangu, na pia maradhi ya mwili viungo na akili yangu , siku zote nimetokea kupenda mwanamke mwenye sifa zifuatazo,

1. Mwenye rangi ya chocolate , ama nyeusi yenye mng'aro.

2. Mwenye aiba ya kike iliyo timirifu akika ndo maradhi yangu mapozi, jicho pamoja na muonekano wake thabiti mbele ya hadhira ya macho yangu, yaani figa ya kibandu hasa.

3. Mwenye nywele laini kama na anayejua mahadhi ya kipwani hasa , hapa nikisikia ile lafudhi hasa ya nyumbani Tanga, Zanzibar na hata kule maeneo ya mwambao yaani Mombasa , ila hawa kina ukichimama nchale ukikaa inchale uchimung'unye wala uchimeze na wala uchitafune duuh hapana.

4.Mzigo ama kijungu cha kipwani hasa mtoto sijapigiwa yaani yule ambaye nikiwa nae mbali tuu moyo wangu tu na ka umri cha chini fulani amizing ama kama akinizidi basi 5 yrs only .

5. Educated kipengele hiki kiko aina mbili educated yaani elimu ya chuo may be ama NECTA, ACSEE but napenda mtoto awe mtamu wa mawazo hata kama form four awe great thinker.

6. Awe shujaa wa moyo wangu na namuadi kuwa shujaa wake, maana kama ni care naijua, na ntajua anachotaka.

Dah sijue nyinyi wadau mnapenda wa aina gani, me nahisi hapa kwa sifa hizo nipo mufilisi.
 
Maisha yako ya ndoto inaonekana ni mazuri kuliko maisha yako halisi..Nakushauri uongeze muda/masaa ya kulala

aaah mkuu kipengele cha ndoto kishachoka kitamboo mkuu..now ukubwa dawa mkuu ...
 
Una biti la kufa mtu.......kweli ujana nusu ya wendawazimu..........
basi sawa...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom