Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Je hii ni sawa? Kwa mfano labda umemlaumu na kumuadhibu kwa kosa ambalo ukaja kugundua kwamba hakulifanya na alijaribu kujitetea kwako kwamba yeye hakulitenda lkn ukampuuzia na kumuadhibu!
Je ukija kugundua kwamba wewe ndiye uliyekosa na yeye hakulitenda hilo kosa, ni sawa kumuomba msamaha mtoto wako kwa kutokumtendea haki?
Je ukija kugundua kwamba wewe ndiye uliyekosa na yeye hakulitenda hilo kosa, ni sawa kumuomba msamaha mtoto wako kwa kutokumtendea haki?