The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,250
Habari wapendwa,
Nianze moja kwa kwa moja Nina Rafiki yangu ambae amepata malezi ya upande mmoja kwa maana ya kwa mama tu toka akiwa mdogo mpk alipofikisha miaka 20 ndio akaenda baba hakukaa sana kwa baba akatoka akaanza kujitegemea.
Kama miaka miwili nyuma ameoa juzi kati baba yake mdogo amemwomba mkewe akamtembelee ili ajuane na ndugu ili ajuane na ndugu wa pande hizo.
Huyu jamaa yangu yeye tupo busy busy kidogo sasa anasita kidogo kumruhusu mkewe aende huko kutokana historia ya ubabani kwao iko hivi, huyo huyo baba yake mdogo anahistoria ya kutembea mtoto wake wa kumzaa kabisa.
Kuna baba yake mdogo mwingine alikuwa anatembea na Dada yake na Huyu Rafiki yangu.
Kuna baba yake mkubwa yeye alizaa kabisa na Dada yake mtoto mama yake mdogo, hizo ni baadhi lakini kuna mitifuano ya kufa mtu.
Mie nimeshindwa cha kumshauri. Maana kwa sasa naombeni mnisaidie cha kumwambia.