Ni kweli wanawake wa uswazi wanajua mapenzi zaidi ya wale matawi ya juu?

mzibua chemba

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
476
412
Huwa nashindwa kuamini kama hili jambo ni kweli au la maana mara nyingi wanaume hubishana kuwa wanawake wa uswazi ni watundu sana katika sekta ya malavidavi toka ku care, mapishi, hata kitandanI huwa wanajituma sana.

Pia husema ni watundu sana ila eti wa kishua huwa huwezi enjoy maana huwa wanapenda mapenzi kuyahamishia mdomoni zaidi pia huwezi fanya rafu gemu, kimoja tuu anatoka hoi.

Je hii ni kweli au sound kati ya wanawake wa kiswazi na wa kishua? Hebu tupate maoni hapa
 
Watoto wa uswazi ni noma, nina mjomba wangu aisee alikuwa hataki hata kuskia swala la kuoa. Yeye alikuwa ni kufekeche fekeche tu madem huko kwao na kuacha. siku kaja nyumbani kakaa wiki mbili akasema anahamu na mwanamke wa kutolea uvivu, basi mtaani pale uswazi kwetu kulikuwa na beki tatu wa kimakonde, nIkampatia namba yake wakatongozana mambo yakawa poa.

Wikendi moja wakatoka kwenda lodge mbali kidogo na kwetu, aisee jamaa kurudi anamkazania mother kuwa anataka kumuoa binti flani huku mtaani kampenda alivyomuona, kuuumbe jamaa alipewa show mpaka alisahau na saa ya mkononi huko huko lodge. Mpaka leo ni mke wake wa ndoa. Aisee uswazi acheni paitwe uswazi
 
ni kweli ila watoto wa kishua wanajua kupenda yaani kweli hawajui mapenzi ila they know how to love sasa huku kwetu unapewa show utapendwa ila akitokea mtu mwenye uwezo awe kijana awe mzee ujue lzm apite kwa demu wako wa uswaz kifupi malimbukeni sana hawa wa kishua hamna wanalojua kupika hawajui,kufua,kuosha vyombo wala mapenzi ya kitandani lakini wanajua huyu mume wangu wana udhungu flan hivi hautalogwa wanapenda kweli wanajua kutumia hela....na research fupi watoto wa kishua sio malaya km hawa wetu huku......ila ukipata mtoto wa mbwa ambaye sie kicheche atafaa kuoa ila km huna demu na ufikiria kumiliki chukua wa kishua ,kuoa tafuta medium ila asiwe mcha......
 
Wanawake wa kishua hawana vitambi, wanajua kupeti peti, hawakupi stress za kuomba omba hela yani hawadanganyiki na kuhongwa pesa za vocha.
Reception nzuri
Bunduki wanazo
Mkia unakuwepo
Ngozi mtoto laini hakuna makovu.
Ukishapata dozi moja hupati tabu kuvuta hisia yan ukimuangalia tu unaongeza spidi
 
ni kweli ila watoto wa kishua wanajua kupenda yaani kweli hawajui mapenzi ila they know how to love sasa huku kwetu unapewa show utapendwa ila akitokea mtu mwenye uwezo awe kijana awe mzee ujue lzm apite kwa demu wako wa uswaz kifupi malimbukeni sana hawa wa kishua hamna wanalojua kupika hawajui,kufua,kuosha vyombo wala mapenzi ya kitandani lakini wanajua huyu mume wangu wana udhungu flan hivi hautalogwa wanapenda kweli wanajua kutumia hela....na research fupi watoto wa kishua sio malaya km hawa wetu huku......ila ukipata mtoto wa mbwa ambaye sie kicheche atafaa kuoa ila km huna demu na ufikiria kumiliki chukua wa kishua ,kuoa tafuta medium ila asiwe mcha......
Uswaz bwana ukimpa tafu mtoto unategemea aende saloon ajipige soap kumbe ile pesa nyumba nzima inaisubiri, mama anauzila kabisa una shilingi ngapi? Wakati anajua binti yake hana kazi.
 
Inaweza kuwa kweli kwa sababu nyingi ila mi nazijua hizi
1. Uswazi (kwa maana nzuri) haya mambo watu hujifunza mapema
2. Uswazi bado wazazi wana ''embrace'' maisha ya kitamaduni - jando na unyago
3. Uswazi, kwa asili yake ''kugegedana'' ni starehe inayopatikana kwa urahisi hivyo wengi wana uzoefu; kumbuka '' practice makes perfect''
4. Uswazi kuna mafunzo na mazungumzo mengi kuhusu ''kugegedana'' hivyo wengi wanajifunza kupitia madarasa yasiyo rasmi - unaweza kuwa na binti wa Kindengereko lakini akakupa hata flavour za kizaramo, kimakonde, kisukuma \u kabila lingine lolote kwa kuwa hawa wote anaishi nao na amesikia namna makabila mengine yanavyofanya
5. Uswazi, huku ''kugegedana'' ni starehe na burudani kwa wakati huo huo.
6. Uswazi, kila mmoja anataka akuachie kumbukumbu maalum, hivyo atajitahidi kwenda hatua moja mbele yaani anajiongeza.
 
Back
Top Bottom