Athed Jnr
Senior Member
- Jul 27, 2016
- 150
- 68
Habari za Jumatatu wa wakuu, poleni kwa pilikapilika za sikukuu.
Nisiwachoshe kwa maneno mengi, nimekuja kwenu kuomba ushauri, mimi naamini kwenye wengi pana mengi, hivyo hapa JF kuna wengi, naamini ni moja ya sehemu ninayoweza pata njia ya kutatua tatizo langu.
Tatizo langu ni kushindwa kudumu katika mahusiano, kila nikiingia kwenye mahusiano na mwanamke basi sikai naye muda mrefu, yananijia mawazo ya kumwambia tuachane, nimejaribu kutafuta njia ya kujizuia hali hii lakini hazifanikiwi, nitakaa kama miezi miwili, baadae inajirudia.
KAMA KUNA MAKOSA YA UANDISHI NAOMBA MUNISAMEHE,MATUSI HAYARUHUSIWI.
NAWASILISHA