Naogopa sana kupata ugonjwa wa UKIMWI,nazidi kumwomba mola anilinde na hilo jinamizi.
Sasa nataka kufanya maamuzi magumu ya kuvuta jiko lilotulia lenye sifa zote za kitanzania na pia mwenye vinasaba vyote vya kibantu kuanzia mlima kilimanjaro kwa kina mangi sina mpaka nyasa, pia kuanzia ukanda wa Pwani wa Mashariki mpaka ukanda wa Tanganyika kuelekea pande zile za watoto wa wanamalundi.
Binti mwenye sifa hizo ana-PM