Wakuu...
Kama ukiona mwandani wako anakukosea na anakuomba msamaha lakini anarudia kosa hilo tena na tena washa taa nyekundu maana mtu wa aina hii huwa kuna kauli huwa zinazunguka kichwani...
This is for you my love.....
Tonight I celebrate my love for you
It seems the natural thing to do
Tonight no one's gonna find us
We'll leave the world behind us
When I make love to you
Tonight I...
natafuta mchumba Muislam awe mzuri,umri usizidi 23yrs,elimu kuanzia form 6 na kuendelea,mimi ni mtumishi serikalini,Awe anasoma au anafanyakazi au biashara,kwa aliye serious aje PM au email...
Habari wana jf,kuna siku nilikuwa sehemu fulani napata chakula la jioni bahati nzuri hapo hapo nikakutana na binti mmoja mrembo, sio siri nilivutiwa nae ili nimuombe faragha tuzungumze ili...
Kuna rafiki angu ni mfupi wa kati lakini amempata binti wa kichaga ambaye anaupendo sana kwake lakini ni mwembamba alafu ni mrefu kidogo dhidi yake. Jambo la kushangaza ni kwamba mwanaume...
Kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Geah Habib akiwa maeneo ya Kiwalani jijini Dar es salaam, amekutana na stori ya dada na kaka waliopigana kisa kikiwa ni Kaka kudai dada yake akiwa na mumewe chumbani...
Wako wapi?au napishana nao nini?Niko nao mtaa tofauti?yaani wanawake ninao date nao mimi siku akikuchangamkia either atahitaji hela very soon au umetoka kumgea hela
Aisee Mungu anawaona wanawake...
Naombeni mchango wenu,
Hivi kumiliki msichana mzuri unatakiwa uwe na pesa, bahati au uwe handsome maana mimi ni handsome lakini pesa sina na nikibahatika kuwa na msichana mzuri basi anakuwa na...
Miaka ya nyuma nilikuwa na mahusiano na mpenzi wangu tulibahatika kupata mtoto 1 lakini bahati mbaya tulikuja achana kila mtu akaendelea na maisha yake, huyu mzazi mwezangu akaja kupata mwanamke...
Vijana wanapo maliza elimu ya sekondari wenye bahati hujiunga na elimu ya kati na ya juu.
Ikumbukwe kuwa sekondari nyingi wanafunzi huishi chini ya sheria kwa uangalizi wa walimu, wazazi na...
habari
Ikiwa mara nyingi Mwanamke akionyesha ananipenda sana na kunijali sana afu anakua hana mpango na kuniomba Pesa ,kumtoa out,kumnunulia kitu flani namfukuza kabisa,nahitaji niombwe pesa na...
Wakuu mimi ni kijana niliyeajiriwa. Nimebahatika kupata msichana aliyeajiriwa serikalini, tunaishi pamoja huku tukipanga kufunga ndoa hapo baadae.
Mishahara yetu inafanana kwa kiasi...
Wadau wa MMU habari zenu
Yaliyonikuta wikiendi hii ilikuwa zaidi ya majanga.
Niliwaza iwe siri yangu lakini nimeona acha nishee na nyie
Muwe washuhuda!shuka nayo hiyo
Kama desturi ndani ya...
hivi ukiwa unawasiliana na mtu katika hali ambayo huwezi kumuona ama kumsikia nini kitakutambulisha kuwa huyu mtu unayewasiliana nae ni mwanamke au mwanaume.
lugha- je ni maneno gani hupenda...
Awe wa dini yoyote, kabila lolote sehemu yoyote tanzania hii namuhitaji.
Sina ubaguzi, nahitaji real love. Nahitaji mgumu/aliekomaa mwenzangu tuyajenge maisha.
Umri kuanzia miaka 18 hadi 30.
[Intro – Mayunga]
.
Please don’t go away
Please don’t go away
.
[Verse 1 – Mayunga]
I used to be the one to say I’m through
Now my heart is bigger than godzilla
Used to wanna walk away from...
DAAAAAAAAAAAAAAAH!!!
IME_HAPPEN JUZI WAKUU!
NAPITA MITAA YA POSTA NAONA VIJANA WENYE UMRI WA MAKAMO KAMA WANGU,
WA KIUME WATATU NA WA KIKE WAWILI
WAMETULIA WANAPATA LAUNCH MATATA YA MSOSI WA...
"I'm sorry,"
It's all that you can say?
Years gone by and still
Words don't come easily
Like "sorry" (like "sorry"...like "sorry"...)
"Forgive me,"
is all that you can say?
Years gone by and still...
Ndugu wana Jf Kuna mwanamke nina malengo naye na tayari tupo kwenye mahusiano.Naomba kuuliza Je nitrace historia yake ya kimahusiano kabla ya kuwa na Mimi ili kujua namna ya kumhandle?.
Naomba ushauri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.