joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,054
Habari wanajamvi wa MMU,
Hope sikukuu iko poa sana maana tuko salama na tunaendelea na mishe mbalimbali za kujenga taifa letu, kiukweli ni jambo la kushukuru ndugu zangu.
Kama kichwa habari kinavyojieleza hapo juu hakika ujumbe huu utakuwa na manufaa juu yako.
Ni kwamba ewe kijana mwenzangu ustaraabu ni kitu msingi au mhimu sana katika maisha kwa sababu itapelekea kujijengea heshima na sifa nzuri mtaani kwako au sehemu yoyote.
Ustaraabu ni maana pana sana kama mjuavyo mfano ustaraabu wa katika mavazi, lugha unayotumia na usafi wa ndani na nje ya mwili na mengine mengi.
Ila hapa ustaraabu niakaokuletea ni ustaraabu wa kujiheshimu katika suala la mahusiano. Nakumbuka kipindi nikiwa na miaka 18 Mzee alijaribu kunipa ushauri wa hapa na pale kuhusu mambo ya mahusiano (mapenzi) kuwa mwanaume wa kweli siyo yule wa kupenda kuchovya chovya kwenye Papuchi ya kila mwanamke anayekutana nae bali uanaume ni heshima.
Heshima inakuja pale ambapo utakuwa mpambanaji yani mtafutaji mpaka ukafanikiwa kupata unachokitaka mfano nyumbani hapakuwa na utajiri ukapambana ukaupeleka hiyo ni heshima tosha sana kwa jamii. Ukishajenga hiyo heshima kuwa na nidhamu ya hali ya juu sana usije ikaporomoka.
Baada ya kujijengea heshima epuka ule msemo kuwa tunakula ujana kwani ni msemo wa watu wajinga na walio na ulimbukeni kama unataka kula ujana mtafute mwanamke mmoja tu unaeendana nae ili uweze kula ujana na yeye na kujenga familia imara sio Leo uko na MWAJUMA, kesho uko na JACKLINE kesho kutwa MWAJABU. Hakika huo si ustaraabu na unajijengea heshima mbaya sana katika jamii inayokuzunguka.
Litakapokuja suala la kuoa utahangaika sana kutafuta mke wa kumuoa maana ushajenga heshima mbaya kwa jamii kutokana na tabia ya kubadilisha wanawake kama nguo. Pia mwanamke mwenye akili timamu hawezi kukubali kufunga ndoa na MTU ambae unapenda kuonja kila aina ya papuchi.
Hakika Leo hii ndiyo natambua na kumbuka maneno mazuri ya wazee maana kuna rafiki yangu kipenzi amekosa mwanamke kwa tabia za kuwatumia vibaya wanawake na hapa yupo kijijini kwa Mzee wake kutafuta mwanamke wa kuoa. Ukiangalia ni yuko vizuri tena sana lakini ndiyo hivyo tena.Kweli Mali bila akili, nidhamu na ustaraabu ni kazi bure wana MMU.
Ingawa kuna wale WANAWAKE UCHWARA ambao wao wanajifanya kuwa bila hela hawezi kuishi utafikiri hela wamezaliwa nazo. Hakika chukua hatua wanawake wa aina yenu ndiyo huwa mnaangukia pabaya kwa kupenda kitonga.
Mwisho.Tupambane sana vijana wenzangu kutafuta Mali na siyo kushindana kuwagegeda mademu huo siyo ustaraabu wala ujanja wakuu.
Sikukukuu njema.