The use of a PC or cell phone in the bedroom links clearly together with what is called a delayed circadian rhythm, according to new study recently published in the Journal of Sleep Research...
Jifunze kwenye hili kisha na Mwenzio nae ajifunze kitu
Ili kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako, kupitia kazi au biashara unayofanya, kitu kimoja muhimu sana unahitaji, nacho ni kujenga...
Mwanaume kabla hauja fanya uamuzi wa kuoa, unatakiwa uwe na uwezo wa kufanya jambo moja muhimu sana. Nalo si jingine, bali ni " KUWA TAYARI KUSAMEHE DHAMBI YA UZINZI"...
Habari wana jamii,
Mimi naitwa James na nina miaka 31, sijaoa wala sina mtoto. Natafuta rafiki wa kike ambae yupo serious katika urafiki tu na ambaye atakuwa muwazi katika kushirikishana mambo...
Jana Kwenye pitapita zangu nilibahatika kukutana na kiongozi mmoja wa kiroho, nilienda kumshirikisha magumu ninayoyapitia Kwenye biashara, ndoa na social issues.
Akaniambia biashara zangu...
Hapa nimekaa chumbani kwangu kwenye kona ya chumba nimejiinamia machozi yanitoka kama aliyepoteza baba na mama aliowapenda sana. Najifikiria mimi nimefanya kosa gani kumpenda huyu dada naye...
Habari zenu wana jamvi
Title inajieleza wazi hapo juu ninarafiki yangu yeye amekuwa akisumbuliwa na tatizo hili la kupiga nyeto mara nyingi sasa anamwaka kama wa nane hivi akisumbuliwa na tatizo...
"Just A Dream"
I was thinking 'bout her, thinking 'bout me
Thinking 'bout us, what we gon' be
Open my eyes yeah, it was only just a dream
So I travelled back down that road
Will she come back? No...
Goodmorning friends
Natafta rafiki wa kike wa kupendana baadae kuja kuishi pamoja kama mke na mme, sifa zake awe na umri wa 18-24yrs, mkristo pia. Awe anasoma au hasomi sawa haitojalisha. Mimi...
Huu ni utafiti wangu mdogo, japo wengine mtanikejeli lakini haina tabu. Niende kwenye mada, kiukweli Mungu hakunyimi kila kitu, most ladies hasa short chassis wamezidishiwa T.A.K.O ambalo hua...
Mwanzo..
Mwanzo 23: adamu alipomuona mwanamke
aksema"sasa huyu ni mfupa katika mifupa
yangu na nyama katika nyama yangu"
Mwanzo 25: Nao walikuwa uchi wote wawili,
Adamu na mkewe, wala hawakuona...
Shikamoni wakubwa wangu,
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 19. Nimebakiwa na wiki moja kabla sijayaanza maisha yangu mapya ya kimasomo kama mwanachuo. Natambua kuwa mpaka hapa...
Wana jamvi,
Kuna jambo linasumbua, washikaji zangu wananichukulia mimi ni mpenda wasichana sana, kiasi cha kwamba wanawake wengi nikiwatongoza wanakataa kwa kuniambia nina wapenzi wengi ni...
Haya malezi ya kimwendokasi yanaboa sana,
Nimeshuhudia zaidi ya mara 6 watoto wakiwa na walezi au wazazi wao wakifanya vituko hadi nahisi kinyaa, mara ya kwanza nilikuwa ndani ya gari mwendokasi...
Yani wasichana wa Dar wanajifanya high class sana, huku wakiwa ni matapeli wa mapenzi na ni wizi tuu, hata ladha yao ni tofauti na wa mkoani, yaani imekuwa kwa Dar mpaka msichana akupe penzi...
Wadau,
Hakuna kitu kinakera kama mtu mnakubaliana siku fulani na muda fulani mnaonana alafu yeye hatokei, unapiga simu hazipokelewi wala sms hazijibiwi.
Hivi wanawake huwa mnawazaga nini...
Hii couple ninaifahamu, mume ni mfanya biashara wa magari, mke ni mwalimu na wamefanikiwa kupata watoto. Tatizo huyu mwanaume hakuna skirt inayompita, kwakweli amekuwa kero kwa vijana wengi...
Kuna wanandoa wanaishi maisha ya ajabu sana mathalani unaweza ukamkuta mwanamke anatumia tendo la ndoa kama sehemu ya kujihami na kufikishia hisia zake kwa mumewe Mara kwa Mara na kuna wakati...