Kijana Jr
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 564
- 868
Wana jamvi,
Kuna jambo linasumbua, washikaji zangu wananichukulia mimi ni mpenda wasichana sana, kiasi cha kwamba wanawake wengi nikiwatongoza wanakataa kwa kuniambia nina wapenzi wengi ni tofauti na mimi nilivyo hili jambo lina nifanya nijishtukie ni nini haswa kinachofanya nisiaminike? Na nisha temana/achana na msichana wangu kwasababu hizo za kutoniamini.
Karibuni