JabagaM
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 539
- 357
Huu ni utafiti wangu mdogo, japo wengine mtanikejeli lakini haina tabu. Niende kwenye mada, kiukweli Mungu hakunyimi kila kitu, most ladies hasa short chassis wamezidishiwa T.A.K.O ambalo hua linawaacha wanaume wengi mate nje. Mungu aliona kile alichowanyima kwenda juu basi akamalizia nyuma. Walio warefu kama ngongoti imekula kwao maana wengi wao ni pasi. Wapo pia wachache warefu wenye inye kubwa lakini wa kuhesabu tu. Short chassis oyeeee.