Natafuta rafiki wa kweli

Natafuta rafiki wa kweli

James Mwidoro

Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
71
Reaction score
93
Habari wana jamii,

Mimi naitwa James na nina miaka 31, sijaoa wala sina mtoto. Natafuta rafiki wa kike ambae yupo serious katika urafiki tu na ambaye atakuwa muwazi katika kushirikishana mambo yanayotuhusu. Kigezo changu kikubwa ninayemuhitaji ni rafiki wa kike tu sitajali hata akiwaje, cha muhimu akubali kuwa rafiki kwangu na pia awe muwazi tu, nitashukuru sana.

Pia kama utaona huu uzi unakukera nitaomba upite bila kucomment wala kupm.
 
kama ni urafiki tu,karibu PM udondoshe namba yako.
 
Habari wana jamii, mimi naitwa James na nina miaka 31, sijaoa wala sina mtoto. Natafuta rafiki wa kike ambae yupo serious katika urafiki tu na ambaye atakuwa muwazi katika kushirikishana mambo yanayotuhusu. Kigezo changu kikubwa nayemuhitaji ni rafiki wa kike tu sintajali ata akiwaje Cha muhimu akubali kuwa rafiki kwangu na pia awe muwazi tu, nitashukuru sana, pia kama utaona huu uzi unakukera nitaomba upite bila kucomment wala kupm
Tuma namba
 
Mimi pia nilikuwa natafuta siku nyingi sana, nashukuru leo nimepata
 
Habari wana jamii,

Mimi naitwa James na nina miaka 31, sijaoa wala sina mtoto. Natafuta rafiki wa kike ambae yupo serious katika urafiki tu na ambaye atakuwa muwazi katika kushirikishana mambo yanayotuhusu. Kigezo changu kikubwa ninayemuhitaji ni rafiki wa kike tu sitajali hata akiwaje, cha muhimu akubali kuwa rafiki kwangu na pia awe muwazi tu, nitashukuru sana.

Pia kama utaona huu uzi unakukera nitaomba upite bila kucomment wala kupm.

WEKA PICHA!

Back
Top Bottom