Ushauriiiii kuhusu Punyeto

Ushauriiiii kuhusu Punyeto

jjmafulo

Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
60
Reaction score
69
Habari zenu wana jamvi

Title inajieleza wazi hapo juu ninarafiki yangu yeye amekuwa akisumbuliwa na tatizo hili la kupiga nyeto mara nyingi sasa anamwaka kama wa nane hivi akisumbuliwa na tatizo hili amejitahidi kuacha lakini anaweza kuacha kwa muda then akarudia tena

Sasa afanyaje ili aondokane na karaha hiii na infact hapendi na anaichukia lakini hawezi kuiacha afanyaje?
 
mnunulie miche mitatu ya sabuni mafuta babycare kopo kubwa ?hapendi na
anaichukia lakini hawezi
kuiacha afanyaje ?
 
mimi nimeoa na kuacha nyeto ngumu sana . kwanza lazima nipge ndo kwa mke wangu. au nianze kwa mke afu chapili nyeto
 
mwambie huyo rafik yako afungue account jf tumpe ushaur au kama ni.ww sema .....solution mwambie atafute dem tena dem ampende jamaa ili kila jamaa atakapohitaji gem apate ndan ya wiki mbil mpaka mwez atakuwa kashaacha kabisa ........yan kila atakapojickia kufanya mastabee amuite dem wake wamalizane itafikia kipind atazoea papuch zaid kuliko punyeto.......

mwambie pia aepuke kukaa mwenyew ni mbaya , ukikaa na watu wengi sa nyingne inashndikana kujichua mbele za watu.....
 
Mazoea hujenga tabia, ni vugumu mtu kuacha tabia yake mpk aamue kwa dhati ya moyo wake.ni kawaida ya punyeto ukifanya unafurahia wazungu wakishatoka tu unajutia na kuahidi kuacha kabisa hiyo tabia.after time unamiss hako kamchezo then unarudia, ukimaliza tu unajutia tena
Afanyaje sasa kiongozi ili aache
 
mimi nimeoa na kuacha nyeto ngumu sana . kwanza lazima nipge ndo kwa mke wangu. au nianze kwa mke afu chapili nyeto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha
 
Mazoea hujenga tabia, ni vugumu mtu kuacha tabia yake mpk aamue kwa dhati ya moyo wake.ni kawaida ya punyeto ukifanya unafurahia wazungu wakishatoka tu unajutia na kuahidi kuacha kabisa hiyo tabia.after time unamiss hako kamchezo then unarudia, ukimaliza tu unajutia tena
Mkuu inaoneka umekapitia yako kamchemzo kwa ukaribu sana hebu msaidie na mwenzio aachane nako
 
mwambie huyo rafik yako afungue account jf tumpe ushaur au kama ni.ww sema .....solution mwambie atafute dem tena dem ampende jamaa ili kila jamaa atakapohitaji gem apate ndan ya wiki mbil mpaka mwez atakuwa kashaacha kabisa ........yan kila atakapojickia kufanya mastabee amuite dem wake wamalizane itafikia kipind atazoea papuch zaid kuliko punyeto.......

mwambie pia aepuke kukaa mwenyew ni mbaya , ukikaa na watu wengi sa nyingne inashndikana kujichua mbele za watu.....
Shukrani nimekuelewa hana simu ya kuacess jf shukrani kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom