Ukipanda kitandani khanga unaiweka pembeni

Ukipanda kitandani khanga unaiweka pembeni

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,270
Reaction score
29,938
Mwanzo..

Mwanzo 23: adamu alipomuona mwanamke
aksema"sasa huyu ni mfupa katika mifupa
yangu na nyama katika nyama yangu"

Mwanzo 25: Nao walikuwa uchi wote wawili,
Adamu na mkewe, wala hawakuona haya.

Hayo ni maneno ya biblia takatifu nataka
niongelee kwenye ndoa leo sisi kidunia
tunasema sharti kuu la ndoa ni kulala uchi na
wewe mwanaume na mwanamke mnapotaka
kuoana mnalijuwa hili na mnakuwa na hamu
sana kipindi cha mwanzo na mnayatimiza haya
sana.

Baada ya miaka miwili na kuendelea kwanini
sharti hili halifanyiki tena, utakuta mwanaume
tena ndio kashaota mabawa kasahenda aendako
akirudi nyumbani analala na kaptula
Kaaaaahhh!!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15]


Tena wanawake wengine wanasema
kabisa yani hata nijaribu kumtua mume wangu
kwa mapenzi gani anakataa na kulalamika
amechoka asisumbuliwe...

laana nyengine za
ndoa tunazileta sisi wenyewe wanandoa kwa
kukiuka maneno aliyetuambia MUNGU wetu.

Au utamkuta tena mwanamke kwavile mumewe
kamuudhi basi usiku analala na jeans i
Kaaaaaaahhhh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Tena sio jinsi tu ndani kuna kaptula ndani ya
kaptula kuna tight na ndani ya tight kuna
chupi..ebooo basi tu asiguswe

Jamani miili yetu ndio inayoleta msisimuko wa
kuwa pamoja katika sita kwa sita miili
inapogusana basi kuna hali ambayo unaishikia
inayokupelekea wewe kutaka kuguswa tena na
tena na baadaye huzaa mzunguko wa mahaba..

Hata kama mmegombana najuwa wakati
mwengine mwenzangu ugomvi ukiwa mbichi
hata uniguse vipi hamu haopandi na japo
nimelala bila nguo ila tujitahidi kusolve
matatizo yetu kabla hatujalala ili tulale kwa
amani na upendo hata kwenye ndoto
tuotane..

ah ah ah ah ah ah [emoji12] [emoji12] [emoji12] chezea ndoa
Weeee

mwanamke khanga kitenge umbea
unaweza ukajifunika kanga yako upinde mmoja
tu

ukiwa chumbani ukipanda kitandani khanga
unaiweka pembeni tayari kwa kumfuta mume
mnapomaliza kufanya maujuzi..


Mwanamke maujuzi buana
 
Door kumbe ndoa ndo ilivyo tamu ivyo ngoja nijipange tyu next year na mim nivute mama kwa fasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom