Tusaidiane majibu wapendwa.

Tusaidiane majibu wapendwa.

To yeye

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
20,345
Reaction score
38,293
salama?
ivi kwann unapomtaka MTU awe Wa kike au kiume unamwona mzuri,dhahabu na masifa kedekede ila ukishampata yaan kusex nae tena after to score/kupiz unamwona Wa kawaida tyuuu.,....unamkinai.Na majibu ya mkato yanaanza.

Tena hali hii in kwa wote tu,yaan mi binafsi baada ya kumwaga vyangu aliyejuu yangu naonaga kama ananichosha tyu.....amalize haraka tuendelee na michakato mingine.
 
[emoji121]
MKUU
KWANZA WEKA PICHA YA HILI TANGAZO LA DIKODA YA KONTINENTO.
 
Ww utakuwa mzinzi mzoefu. Inabid uombewe. Inawezekana ww ni single mother maana wengi huwa hawalifurahii hili tendo kwa sbb wameshaumizwa. Kwa hiyo hulifanya kwa kujilazimisha. Mtu unayempenda tendo huwa tamu sana
Mm na wifi yako kila siku huwa namuona km ndio tumekutana leo. Kila siku huwa namuona mpya.
 
Nimekwenda mgahawani na njaa nimeshakula sasa nisubiri nini na nimeshashiba? Nilikuwa na njaa tu sikuwa na haja ya ajira.
 
Back
Top Bottom