Na pesa hamtaki kutupa mnawapa kina naniii?Mkibana tu miguu tusitoke tutakufa lakini na wewe uliebana miguu utakufa.
Hata hvyo ni wajibu wa kila mtu kumheshimu mama/mwanamke.
Hakuna asietambua umuhimu wenu, huduma yenu na mchango wenu kwetu sisi wanaume na watu wote hakunaga.
Shida inakuja pale mnaposhusha heshima yenu mbele ya pesa.
Vinginevyo mimi naheshimu wanawake wote.
Kuna vibwengo wanasababisha hayo...Mmekuwa mkituponda huku kila siku hamjui sie tumewaweka tumboni miezi 9 na wakagi wa kujifungua hatukubana miguu mkafa ,muwe na adabu bana .heshima kwetu wote wanawake
View attachment 400171
ujumbe wenu huu hapa
Tunawapenda bhana [emoji7][emoji7]. Wanawaharibia vibwengo vichache visivyo na adabu hata mbele ya baba zao.
Nani kama mama nani kama mke nani kama .....
Bia, kitimoto, club etcNa pesa hamtaki kutupa mnawapa kina naniii?
Pesa tunawatafutia ninyi na tunawapa tatizo ni pale mnataka kutufanya visima vya pesa muwe mnachota tu hata kama visima hvyo vikionyesha dhahiri kipindi cha kiangazi kua vimekauka nyie hamuelewi mnahamia kwenye visima vyenye maji.Na pesa hamtaki kutupa mnawapa kina naniii?
Tuitane JLW kuleeeJamani nimemmiss madame b muite basi aje
Asalam aleikum NgabuMkijiheshimu mtaheshimiwa.
Sasa kutwa kucha mnashabikia mambo ya kipumbavu kama umbea halafu mnaanza kujivunia na kushindana eti nani mmbea kuliko mwenzake au nani anajua kuchamba kumshinda mwenzake, nani atawaheshimu?
Wenyewe kwa wenyewe hamuheshimiani halafu mnategemea wengine wawaheshimu?
Acheni masikhara bana!
Umepotea kinyama kama fedha enzi za magufuliNani huyu sweet au?