Kama unafanya kazi zote za ndani mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli?

NdunnduIT

Member
Aug 26, 2016
10
13
Kama unafanya kazi zote za ndan mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli? Unatoka job umechoka wife yupo na anasema amechoka unajipikia unatenga mwenyewe chakula na maji ya kuoga, na ukifika wakati wa kupata haki ya ndoa unanyimwa.
 
duuuuuuuuuuuhhh hizi ndoa Mungu aziponye tu maana simeshakua janga.
 
Kama unafanya kazi zote za ndan mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli? Unatoka job umechoka wife yupo na anasema amechoka unajipikia unatenga mwenyewe chakula na maji ya kuoga, na ukifika wakati wa kupata haki ya ndoa unanyimwa.
Sorry umeoa au umeolewa?

Unajua haki na wajibu wa mume au mke ktk ndoa?

Unajua au kufahamu maana ya uanaume?
 
Kuna wakati nawazaga, hawa wanawake huwa mnawatoa wapi? Kuna sababu ya kuoa kutoka kwa familia unayoijua ndo maana wazee wetu walidumu kwenye ndoa zao. Hii ya kukutana kimjinimjini na kwenda kutambulishana changamoto zake ndo kama hivyo. Pole mkuu ni kukaa nae na kumweleza wajibu wake kama mke maana haiwezekani achoke kila siku, au ni mara moja tu? Kama ni Mara moja msamehe tu siku hazilingani
 
Unaruhusu mwanamke akupande kichwani....!!

Nyie kaaa zetu hawa wanawake mnawatoa wapi?

Nimkute kaka angu anabehave kibwege kama weweee...

Nakukata makofi kwanza!!!au nakuchambaaa...

Au umerogwa weweee.....!!!

Mwanamke umemuoa yy yupo tu nyumbani ukirudi ndo uanze kufanya kaz??!!!

Uchi wako huo maana umeulipia mahari kabisa nao anakunyima

Anampa nani sasa....!!!

Unamuangalia tuu....!!

Sio bure umerogwa weweee....mi nakuambia...

Limbwata hiloo!!!

Na hapo ukute unaogopa kumsema eti atachukia...

Mnatia hasira nyieeee....wanaume wengine!
 
Back
Top Bottom