Shikamoo Whatsap...heshima tele kwa data recovery

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
8,351
Reaction score
8,088
tena! uuuuuuuuwi tena.
"Wife" kaja juzi bana kwa ghafla sana geto usiku maana alikuwa likizo, yeye ni mwanachuo katika chuo kimoja hivi hapa jijini. Basi kwa kujua nina conversation na picha za sisizo na maadili za best yake katika simu yangu nikawa mkali mno na simu yangu. lakini baada ya kuona sitaweza njia hii kwa muda mrefu, nikaamua kudelete kila kitu hadi conversation na kijifanya sijui lolte.

Khe kumbe kuna kitu kinaitwa data recovery kimwekwa katika kompyuta yangu ya ofisini kwa kuwa walipiga chini window ili nijaribu kurecover mafile ambayo nadhani nilikuwa bado nayahitaji. "Wife" kama kawaida mida nakaribia kutoka ofisini akaja kunichukua turudi home, ila kwa kuwa nilikuwa na shughuli za hapa na pale ikabidi nimwache ofisini.

Akaitoa memory card yangu, akaiingiza katika card reader na kuanza kurecover datta.......Duh akazikuta picha zote za best yake. Kilichoendelea ni siri yangu ila tu ni kwamba tuwe makini mno na hizi software, kufuta taarifa sio suluhu wakuu kwani bado zinaweza kupatikana, ni hayo tu.
SHKAMOO WHATSAPP....HESHIMA KWAKO DATA RECOVERY
 
wife wako ana gari halafu wewe hauna??

sasa mbona wamchezea hivyo mtoto wa watu, ona anavyokupenda masikini, anakufuata kazini kwa gharama zake!!!

umemfanyia jambo la kukera sana, tena kwa rafiki yake!!?

akunyime lifti siku nyingine aisee!
 
tena! uuuuuuuuwi tena.
"Wife" kaja juzi bana kwa ghafla sana geto usiku maana alikuwa likizo, yeye ni mwanachuo katika chuo kimoja hivi hapa jijini. Basi kwa kujua nina conversation na picha za sisizo na maadili za best yake katika simu yangu nikawa mkali mno na simu yangu. lakini baada ya kuona sitaweza njia hii kwa muda mrefu, nikaamua kudelete kila kitu hadi conversation na kijifanya sijui lolte.

Khe kumbe kuna kitu kinaitwa data recovery kimwekwa katika kompyuta yangu ya ofisini kwa kuwa walipiga chini window ili nijaribu kurecover mafile ambayo nadhani nilikuwa bado nayahitaji. "Wife" kama kawaida mida nakaribia kutoka ofisini akaja kunichukua turudi home, ila kwa kuwa nilikuwa na shughuli za hapa na pale ikabidi nimwache ofisini.

Akaitoa memory card yangu, akaiingiza katika card reader na kuanza kurecover datta.......Duh akazikuta picha zote za best yake. Kilichoendelea ni siri yangu ila tu ni kwamba tuwe makini mno na hizi software, kufuta taarifa sio suluhu wakuu kwani bado zinaweza kupatikana, ni hayo tu.
SHKAMOO WHATSAPP....HESHIMA KWAKO DATA RECOVERY

yule wa mzumbe ushampiga chini?
 
Yaani mara mia utembee na mtu wa mbali kuliko rafiki yangu,yaani kweli na rafiki yangu ajue nanhii ya mume wangu ni size gani?michepuko sio deal!
 
Kwa hiyo umeona sifa sanaa,mdada wa watu anakupenda kumbe wewe huna time naye,nyie wanaume mtabdilika lini jamani,
Mbona mnazidi kututia hofu sie wenye tumaini la.kupata wenza??
 
yaani leo umebiudhi!!! eti unajisifia tabia ya kimalaya msonyoooo
 
tena! uuuuuuuuwi tena.
"Wife" kaja juzi bana kwa ghafla sana geto usiku maana alikuwa likizo, yeye ni mwanachuo katika chuo kimoja hivi hapa jijini. Basi kwa kujua nina conversation na picha za sisizo na maadili za best yake katika simu yangu nikawa mkali mno na simu yangu. lakini baada ya kuona sitaweza njia hii kwa muda mrefu, nikaamua kudelete kila kitu hadi conversation na kijifanya sijui lolte.

Khe kumbe kuna kitu kinaitwa data recovery kimwekwa katika kompyuta yangu ya ofisini kwa kuwa walipiga chini window ili nijaribu kurecover mafile ambayo nadhani nilikuwa bado nayahitaji. "Wife" kama kawaida mida nakaribia kutoka ofisini akaja kunichukua turudi home, ila kwa kuwa nilikuwa na shughuli za hapa na pale ikabidi nimwache ofisini.

Akaitoa memory card yangu, akaiingiza katika card reader na kuanza kurecover datta.......Duh akazikuta picha zote za best yake. Kilichoendelea ni siri yangu ila tu ni kwamba tuwe makini mno na hizi software, kufuta taarifa sio suluhu wakuu kwani bado zinaweza kupatikana, ni hayo tu.
SHKAMOO WHATSAPP....HESHIMA KWAKO DATA RECOVERY

Mkeo anakazi sana...hujaonyesha kitendo cha kujutia. Unaisifia software tu
 
Back
Top Bottom