mpebasi-jr
Member
- Aug 2, 2016
- 56
- 32
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,
Nina msichana wangu yupo rahisi sana. It seems kila mtu akimwongelesha anampata but yeye anadai tuoane. Napata wakati mgumu, nifanyaje!?
Natanguliza shukrani