MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 351
Jamani niwashirikishe kituko kilichonitokea siku za hivi karibuni. Nina dada mmoja niko na mahusiano naye kwa miaka miwili iliyopita. Siku za hivi karibuni amekuwa akiniomba tufanye mapenzi kinyume na maumbile-anataka nimfanye nyuma.
Hicho kitu mimi sijawahi kufanya, lakini pia sijisikii kuwa salama na safi kwa kitendo hicho, kwa hiyo mara zote nimekuwa nikimkatalia. ghafla baada ya kukataa namuona mwenzangu hanijali tena, amekuwa mkali ananifokea kwa kitu kidogo tu.mara aniambie ataenda kufanywa na watu wengine. sasa sijui niachie ngazi tu, lakini ni mzuri huwezi amini