Wakurawaytu.......!!!!
Kwanza kabisa tuanze na mtu mzima jah cure -(stronger) scriptures riddim
[Chorus:]
Come away in a dream
Life is not what is seem
Happiness don't always live forever
But my...
Tangu nilipo pitisha maamuzi ya nyeto kila siku, kuna mrembo ameniruhusu hata nikiomba ushauri JF kuwa hamna shida, amenitongoza na amenihakikishia atanipenda vizuri, tumebadishana namba za simu...
Sipingi kwamba kunakutegeshewa mimba, ila huwa inanisikitisha sana ninaposikia wanaume wanalalamika kutegeshewa mimba.mbaya zaidi kuna wanaume wengine watoto watatu mama tofauti wote anadai...
Habari zenu wakuu,
Leo nimekuwa najiuliza hili swali nikasema wacha nijaribu kushare nanyi labda naweza kupata majibu. Je ushawahi kuwa mpweke, nani kipi hasa huwa kinachukua nafasi kubwa ya...
Wakuu salaam kwenu,
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Katika harusi zote nilizoshuhudia sijawahi ona bibi harusi mnene, wakati mtaani wamejaa wadada vibonge. Najiuliza hao walioolewa huwa...
Jamani haya ni moja ya maajabu ya watoto wa kike kila utakayemtongoza anakuambia ana mtu wake na ndiye atamuoa, ukimpotezea ukakazia wengine badae unakuja kugundua waliokuambia wana watu...
Mwanamke nchini Nigeria(Aisha Dannupawa) aomba talaka kisa mme wake ana maumbile makubwa kupitiliza.
Aliiambia mahakama kuwa siku ya kwanza walipokutana kimwili na mumewe, tukio lilitawaliwa na...
Salamu!
Kila mtu ana mapungufu yake na kuwa na mapungufu hayo kusimzuie kupata faraja na upendo. mimi ni mwanamke, nahitaji mwanaume ambaye MUNGU akipenda baada ya kufahamiana tuwe mume na mke...
Sijui niseme kuna wakati unasoma malalamiko mengi yanaandikwa ni female ndo wanalalamika kuhusu aya mapenzi..
Ila nimefatilia sana nimegundua MALE ndo wanaumizwa sana kimapenzi na ugumu wa...
Habari wanaJF,
Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa kumuwezesha mpenzi wangu kujifungua salama mtoto wa kiume.
Sio siri nimekuwa ni mtu niliyetamalaki furaha sana...
Habari wana jamvia
Ni ivi wadau,nilikuwa kwenye mahusiano na kashemeji kenu, kazuri flani ivi miez kama7 ilopita na kweli kalinipenda sana.Mtoto aliamini kapata bwana mwema maishani ila ndugu yenu...
Hi !
jaman natafuta mpenz umri wowote kikubwa 2pendane
Mm ni mama wa mtoto mmoja umri wangu ni 23 ninaish na baba wa mtoto lakn c ndoa rasmi
Aliyetayar ani pm ili kujuana zaidi
Kwanza niweke bayana, uzuri wa mwanamke kila mtu ana uzuri wake ila kuna ukweli mmoja kwamba, wapo wanawake ni universal kwa uzuri, kila mwanaume lazima apige salute, pia wapo wanawake ni...
Mimi ni kijana wa Tanzania nimehitimu shahada chuo kikuu hapa nchini mwaka 2015 nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga tuoane baadaye tulianza mahusiano tangu mwaka 2009 mahusiano yalikuwa...
Ilikuwa siku ya sikukuu ya idd niliamua kupumzika nikaenda kupata kinywaji kwa glosary moja maeneo ya karibu na kwangu
Nikiwa nimekaa kama dakika kumi akaja msichana mmoja mrembo sana, alikua ni...
Iam at a cross roads. When I just started a job I met a girl (I call X)and gone out with for three months.Without knowing what went wrong I stopped seeing her.
This was in 2008. Recently, the...
Iko kama ifuatavyo:-
1. Nilimpenda mdada fulani hapa Sengerema, muda huo alikuwa anasoma chuo cha ualimu huko mkoani Mbeya.
2. Ndugu zake walifahamu mahusiano yetu na hadi ilifikia kuitwa...