Kwanini wanawake wabaya wana maringo?

Kwanini wanawake wabaya wana maringo?

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Kwanza niweke bayana, uzuri wa mwanamke kila mtu ana uzuri wake ila kuna ukweli mmoja kwamba, wapo wanawake ni universal kwa uzuri, kila mwanaume lazima apige salute, pia wapo wanawake ni universal kwa ubaya, hawavutii kiivyo, hawa ndo naowaongelea.

Katika pitapita zangu hawa ndo wanaongoza kwa nyodo na malingo, ukimwangalia wala hana hiyo thamani, tofauti na wanawake warembo hata kama anakupiga chini anakupiga kistaarabu tu ila walee sasa, hana mvuto na kimsingi unataka kumsaidia tu ila anavyojipandisha thamani.

Wanawake mje pole pole maana nimejipanga.
 
Kama huyu anaringa balaa
Ugly-girl-with-glasses-Really-Ugly-Girls.jpg
 
Wazuri ndo hao wanaowapiga vibomu daily afu mnalalamika uku jf na ndo scrapers zilozopo mjini

Afu mi najua wazuri ndo wenye kauli mbaya sababu wanajua mpo wengi wa kuwafata tofauti na SISI wabaya
 
hili nishaliweka sawa kwa kutambua wa hoja hii mtaibuka, ndo maana nikasema wale universally agreed.
mwanamke mbaya yupoje tuanzie hapo?
na wewe una uzuri gani?
 
Wazuri ndo hao wanaowapiga vibomu daily afu mnalalamika uku jf na ndo scrapers zilozopo mjini

Afu mi najua wazuri ndo wenye kauli mbaya sababu wanajua mpo wengi wa kuwafata tofauti na SISI wabaya
kiuhalisia ilitakiwa iwe hivyo ila hali halisi si hivyo.
 
Wazuri ndo hao wanaowapiga vibomu daily afu mnalalamika uku jf na ndo scrapers zilozopo mjini

Afu mi najua wazuri ndo wenye kauli mbaya sababu wanajua mpo wengi wa kuwafata tofauti na SISI wabaya

Ulivyo mzuri hivyo,unasema wewe ni mbaya.
 
Wanajua kua unataka kumsaidia tu na sio upendo wa dhati! Tena wanaume wengine wanataka kuwapitia tu.
 
Kwanza niweke bayana, uzuri wa mwanamke kila mtu ana uzuri wake ila kuna ukweli mmoja kwamba, wapo wanawake ni universal kwa uzuri, kila mwanaume lazima apige salute, pia wapo wanawake ni universal kwa ubaya, hawavutii kiivyo, hawa ndo naowaongelea.

Katika pitapita zangu hawa ndo wanaongoza kwa nyodo na malingo, ukimwangalia wala hana hiyo thamani, tofauti na wanawake warembo hata kama anakupiga chini anakupiga kistaarabu tu ila waleeeee sasa, hana mvuto na kimsingi unataka kumsaidia tu ila anavyojipandisha thamani.

Wanawake mje pole pole maana nimejipanga.
Hata hyo mwanamke mbaya kuna Wanaume wanamlilia Mungu hakunyime Vyote. Demu sura Mbaya lakn ana Bonge la Tako. Karbu mtaan kwetu Uone
 
Kwanza niweke bayana, uzuri wa mwanamke kila mtu ana uzuri wake ila kuna ukweli mmoja kwamba, wapo wanawake ni universal kwa uzuri, kila mwanaume lazima apige salute, pia wapo wanawake ni universal kwa ubaya, hawavutii kiivyo, hawa ndo naowaongelea.

Katika pitapita zangu hawa ndo wanaongoza kwa nyodo na malingo, ukimwangalia wala hana hiyo thamani, tofauti na wanawake warembo hata kama anakupiga chini anakupiga kistaarabu tu ila waleeeee sasa, hana mvuto na kimsingi unataka kumsaidia tu ila anavyojipandisha thamani.

Wanawake mje pole pole maana nimejipanga.
Mkuu naona unachanganya habari, lazima ujue utofauti wa Maringo, Majivuno, Nyodo n.k.....Wanawake wabaya huwa hawana Maringo, wenye Maringo ni wanawake Wazuri, yani anaringia Uzuri wake hata kama Masikini, Wanawake wabaya baadhi wana Nyodo au Majivuno, yani Kuna kitu anajivunia, anaweza kuwa mbaya mpaka aibu ila akajivuna, ukipeleleza ndo unajua "Ahh! Kumbe yupo na Phd!! Ama ooh, kumbe sababu Ana mchumba wa Kizungu!!" Yani lazima Kuna kitu kinafanya ajivunie, ndo wengi huwa na nyodo pia....mfano mtu kaenda Bar kanunua Kreti ya bia hafu anaoshea gari yake, huwezi kusema huyo anaringa, ila hiyo ni Nyodo, So wanawake Wabaya hawaringi! Kumbe wataringia nini na ni wabaya! Ila baadhi ndo wanamajivuno!
 
Dah ukutane naye katika group la wanawake wenzie yeye ndio anakua kama Alpha Male ,unataka kuchomoa mtoto mmoja yeye anakukazia wakati wenzake wala hawana hata noma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom