Nimeamua kuachana na mchumba wangu

Nimeamua kuachana na mchumba wangu

Propolis

Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
34
Reaction score
50
Mimi ni kijana wa Tanzania nimehitimu shahada chuo kikuu hapa nchini mwaka 2015 nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga tuoane baadaye tulianza mahusiano tangu mwaka 2009 mahusiano yalikuwa mazuri ila Elimu yake Huyo Binti ni kidato cha nne nilipokuwa chuo mwaka 2015 namalizia masomo yangu mwaka wa mwisho ndipo Alianza kunisaliti Binti Huyo na Kuanza kuwa na mahusiano na Mwanaume mwingine lakini nimekuja kugundua mwaka huu mwezi wa nane mwaka huu baada ya kutaka kwenda kwao na kujitambulisha na kutao mahali mwezi huo huo wa nane akanitumia message akisikita kuwa hapo alipo ana ujauzito wa miezi sita na ni mtu mwingine na akasema nimusamehe kwa hilo kisa alililo fanya hatarudia mimi binafsi nimusamehe kisa la kunisaliti ila sio la kurudiana na yeye tena nakamutakia Maisha mema huko aliko aamua kuelekea. Naombeni maoni yenu wadau uamuzi wangu nimeamua uwe hivyo japo Binti nilikuwa nampenda sana!!!
 
Ulichoamua umeamua tafuta mwingine acha maisha yaendelee
 
  • Thanks
Reactions: dtj

Jibu unalo, mwache aubebe mzigo wake, kwa vile aliona wewe huzai
 
Umeamua maamuz ya Kiume

well done son[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mimi ni kijana wa Tanzania nimehitimu shahada chuo kikuu hapa nchini mwaka 2015 nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga tuoane baadaye tulianza mahusiano tangu mwaka 2009 mahusiano yalikuwa mazuri ila Elimu yake Huyo Binti ni kidato cha nne nilipokuwa chuo mwaka 2015 namalizia masomo yangu mwaka wa mwisho ndipo Alianza kunisaliti Binti Huyo na Kuanza kuwa na mahusiano na Mwanaume mwingine lakini nimekuja kugundua mwaka huu mwezi wa nane mwaka huu baada ya kutaka kwenda kwao na kujitambulisha na kutao mahali mwezi huo huo wa nane akanitumia message akisikita kuwa hapo alipo ana ujauzito wa miezi sita na ni mtu mwingine na akasema nimusamehe kwa hilo kisa alililo fanya hatarudia mimi binafsi nimusamehe kisa la kunisaliti ila sio la kurudiana na yeye tena nakamutakia Maisha mema huko aliko aamua kuelekea. Naombeni maoni yenu wadau uamuzi wangu nimeamua uwe hivyo japo Binti nilikuwa nampenda sana!!!
Hivi vyuo mnavyomaliza nina mashaka navyo, kama uandishi wenyewe ndo huu.
 
Hiyo ndo njia ya kusema uko single na unatafuta manzi au????

Anyways pole....na hongera kwa maamuzi...
 
Mimi ni kijana wa Tanzania nimehitimu shahada chuo kikuu hapa nchini mwaka 2015 nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga tuoane baadaye tulianza mahusiano tangu mwaka 2009 mahusiano yalikuwa mazuri ila Elimu yake Huyo Binti ni kidato cha nne nilipokuwa chuo mwaka 2015 namalizia masomo yangu mwaka wa mwisho ndipo Alianza kunisaliti Binti Huyo na Kuanza kuwa na mahusiano na Mwanaume mwingine lakini nimekuja kugundua mwaka huu mwezi wa nane mwaka huu baada ya kutaka kwenda kwao na kujitambulisha na kutao mahali mwezi huo huo wa nane akanitumia message akisikita kuwa hapo alipo ana ujauzito wa miezi sita na ni mtu mwingine na akasema nimusamehe kwa hilo kisa alililo fanya hatarudia mimi binafsi nimusamehe kisa la kunisaliti ila sio la kurudiana na yeye tena nakamutakia Maisha mema huko aliko aamua kuelekea. Naombeni maoni yenu wadau uamuzi wangu nimeamua uwe hivyo japo Binti nilikuwa nampenda sana!!!
una degree ya nini mkuu...?Chuo gan?
 
Sasa maombi ya nn hapo mtoto wa kiume! Mtu ana mimba ni kinyaa tosha kwako cha kutokumtamani wala kumfikiria sasa uombewe ya nn, Au ndo style ya kufata slogan ya mkuu wa kaya "Niombeeni....." Kwanza kazi umepata? Maana kama ulimaliza 2015 na 2016 unataka ukapeleke Mahali napata ukakasi umejipanga saa ngapi kimaisha na bila shaka utakua mwanaume wa mkoani maana wanaume wa Dar hawaharakiagi mambo hivi
 
Mimi ni kijana wa Tanzania nimehitimu shahada chuo kikuu hapa nchini mwaka 2015 nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga tuoane baadaye tulianza mahusiano tangu mwaka 2009 mahusiano yalikuwa mazuri ila Elimu yake Huyo Binti ni kidato cha nne nilipokuwa chuo mwaka 2015 namalizia masomo yangu mwaka wa mwisho ndipo Alianza kunisaliti Binti Huyo na Kuanza kuwa na mahusiano na Mwanaume mwingine lakini nimekuja kugundua mwaka huu mwezi wa nane mwaka huu baada ya kutaka kwenda kwao na kujitambulisha na kutao mahali mwezi huo huo wa nane akanitumia message akisikita kuwa hapo alipo ana ujauzito wa miezi sita na ni mtu mwingine na akasema nimusamehe kwa hilo kisa alililo fanya hatarudia mimi binafsi nimusamehe kisa la kunisaliti ila sio la kurudiana na yeye tena nakamutakia Maisha mema huko aliko aamua kuelekea. Naombeni maoni yenu wadau uamuzi wangu nimeamua uwe hivyo japo Binti nilikuwa nampenda sana!!!
Thats te way it is, things will never be the same....
 
Sasa maombi ya nn hapo mtoto wa kiume! Mtu ana mimba ni kinyaa tosha kwako cha kutokumtamani wala kumfikiria sasa uombewe ya nn, Au ndo style ya kufata slogan ya mkuu wa kaya "Niombeeni....." Kwanza Nazi umepata? Maana kama ulimaliza 2015 na 2016 unataka ukapeleke Mahali napata ukakasi umejipanga saa ngapi kimaisha na bila shaka utakua mwanaume wa mkoani maana wanaume wa Dar hawaharakiagi mambo hivi
Mkuu
hajataka maombi,ila maoni, Hapo Nazi inahusika vipi Mkuu au ulitaka useme kazi.? yote haya umekosea sababu ulitaka kuwashambulia wanaume wa mikoani, kesho jaribu ku-edit afu upost..
 
Back
Top Bottom