Je, Ushawahi kuwa mpweke (lonely )?

xaidjr

JF-Expert Member
May 29, 2016
392
467
Habari zenu wakuu,

Leo nimekuwa najiuliza hili swali nikasema wacha nijaribu kushare nanyi labda naweza kupata majibu. Je ushawahi kuwa mpweke, nani kipi hasa huwa kinachukua nafasi kubwa ya upweke. Je ji mapenzi, maisha, kazi, wazazi or ni kipi share na mi hapa nijuze tujuzane.

Welcome ya'll.
 
Hakuna upweke mbaya kama upo na vyetu full alafu hupati kazi...! Life la kunguusha bahasha.

Moja kati ya vipindi vigumu katika maisha ya graduates...
I'll Never forget
 
Yap ... nakumbuka after form 6 wakati nasubiri matokeo enzi hiyo ilikuwa ni mwaka mzima si tu nilikuwa mpweke nafikiri pia ''depressed''. Everything was not right, connection zote za marafiki/fedha ni kama zilikata alafu nilikuwa 'te' i.e Chacha mbaya.

Nakumbuka kuna siku nyingine chache nilikuwa nakosa hata ile shilingi moja ... huwa inafikia stage hata ukitembea unajihisi kama vile unatembea jangwani peke yako hata kama kuna watu kibao, majengo na kelele nyingi..

Acha kabisa
 
ninapokuwa mpweke huwa nashinda JF tu, nasoma sred zote za Mmu ,
zingine nashauri pointi na zingine nashauri pumba tu.
 
Upweke mbaya ni ule uko katikati ya watu - marafiki, familia, mpenzi lakini bado unajihisi mpweke. Ilishakutokea hali hii? Yaani kama vile something fundamental is missing in your life...
 
Yani hata sasa npo chini ya mti napumzika baada ya kuchomwa na jua la dar es salaam kisawa sawa nikiwa kwenye harakati za kuzungusha CV yangu kutafuta "internship" nakutana na majibu yenye Kuvunja na kunifanya nisione thaman ya elim yangu,daah cjawahi ku-experience upweke huu nahisi ulimwengu unanzomea
Mungu atutie nguvu wote tunaopitia huu mtihani
 
Back
Top Bottom