Ivi hii ni laana au Sangoma anahusika

Ivi hii ni laana au Sangoma anahusika

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
1,160
Reaction score
1,204
Habari wana jamvia
Ni ivi wadau,nilikuwa kwenye mahusiano na kashemeji kenu, kazuri flani ivi miez kama7 ilopita na kweli kalinipenda sana.Mtoto aliamini kapata bwana mwema maishani ila ndugu yenu sikuwa ata na moja kichwani kumuhusu yeyee

Basi baada ya mda flani kupita,kijana wenu nikatamani kuwa na koloni jipya,kuhusu uyu sikujali,nkajitahidi kumtafutia visababu japo kwa asilimia kubwa alivimudu visa nilivyombabikizia nia na lengo ni yeye aniache mimi yani tubwagane

Basi baada ya visa vyote kugonga mwamba,nikamtolea uvivu kwa matusi na kejeli japo pia alivumilia,ikabidi nimsindkize na kafumanizi ka kimkakati yani ka kupanga

Basi aliumia sna na kweli tuliachana,nakumbuka maneno yake aloniambia kuwa Sito kuja kupata demu kama yeye,na zaidi tamkumbuka.Bas muhuni nikaona ni maneno ya mkosaji,KWENDRAAA

Wadau kuanzia pale,kupata koloni kwangu imekuwa tabu sana,yani paka nitumie nguvu nyingi kama kupromote siasa za upinzani kwenye uongozi wa Tulia

Ni mizinga mixer vibomu kama niko vitani yani,Mara nibaniwe papuchi na ela nmechunwa yani paka sielewi

Au ni laana wajameni,au mrembo aliniendea kwa sangoma.ILA SILUDI KUOMBA SORRY,TAKASILISHA MIZIMU
 
What goes around always comes around.
Ungemuacha kivzuri nna uhakika yote hayo yasingekupata.
Ulichopanda kwa huyo bint ndicho unachovuna kwa mabint wengine
 
Habari wana jamvia
Ni ivi wadau,nilikuwa kwenye mahusiano na kashemeji kenu, kazuri flani ivi miez kama7 ilopita na kweli kalinipenda sana.Mtoto aliamini kapata bwana mwema maishani ila ndugu yenu sikuwa ata na moja kichwani kumuhusu yeyee

Basi baada ya mda flani kupita,kijana wenu nikatamani kuwa na koloni jipya,kuhusu uyu sikujali,nkajitahidi kumtafutia visababu japo kwa asilimia kubwa alivimudu visa nilivyombabikizia nia na lengo ni yeye aniache mimi yani tubwagane

Basi baada ya visa vyote kugonga mwamba,nikamtolea uvivu kwa matusi na kejeli japo pia alivumilia,ikabidi nimsindkize na kafumanizi ka kimkakati yani ka kupanga

Basi aliumia sna na kweli tuliachana,nakumbuka maneno yake aloniambia kuwa Sito kuja kupata demu kama yeye,na zaidi tamkumbuka.Bas muhuni nikaona ni maneno ya mkosaji,KWENDRAAA

Wadau kuanzia pale,kupata koloni kwangu imekuwa tabu sana,yani paka nitumie nguvu nyingi kama kupromote siasa za upinzani kwenye uongozi wa Tulia

Ni mizinga mixer vibomu kama niko vitani yani,Mara nibaniwe papuchi na ela nmechunwa yani paka sielewi

Au ni laana wajameni,au mrembo aliniendea kwa sangoma.ILA SILUDI KUOMBA SORRY,TAKASILISHA MIZIMU
Nachoweza kusema wewe ni mkosevu wa fikra kwani unasahau kuwa kuna msemo usemao kuwa usihache mbachao kwa msara upitao.
 
it is simply a condition of life that a natural situation will always find its way...definitely i can feel the karma-effect squeezing your soul so so savegely for what you did to her!!!..don forget that ""what goes around-comes back around""
 
Hahahahahaha, we msukuma nakutabiria utasugua benchi hadi 2025 ndo utapata manzi wakueleweka
 
Alitaka muwe kama Samson na Delila..uchawi hauendi kwa mentali..ila inaonekana mara ya kwanza huyo ulimpata kiurahisi sababu nae alikuwa amekudondokea ila kwa sasa ni kama lile somo la kutongoza ndo unalianza upya..Ulimolah?
 
Hahaha,nale molah nyanda..
Nishaanza kuzoza kifaa kingine umu JF.ila nahisi ad sasa mrembo atakuwa kashaniachia manyoa kwa sababu ya hii thread.

Dah,huu Uzi Ni WA kitambo Sana mkuu,awa Mods wameamua kunipeperushia ndege kabisa.Sijui wameana kinachoendelea uko PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom