Nimejiokotea dodo ila ndani funza tupu

Nimejiokotea dodo ila ndani funza tupu

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,902
Ilikuwa siku ya sikukuu ya idd niliamua kupumzika nikaenda kupata kinywaji kwa glosary moja maeneo ya karibu na kwangu

Nikiwa nimekaa kama dakika kumi akaja msichana mmoja mrembo sana, alikua ni ndugu wa muhudumu wa pale glosary, yule msichana alikuwa akinitazama mpaka macho yangu yalikosa balance.

Alipozidi kuniangalia sikua na hiana nikamuita akaja fasta na bila kuogopa alinambia jinsi alivonizimia, ila sasa tatizo lake amenifanya ATM tangu Idd mpaka leo ye ni kunibangua mipesa tu, mpaka anakera
 
acha uchoyo mkuu hapo si nipe nikupe,.? au ni wewe tu unatoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom