Wanaume ndo wahanga wakubwa katika mapenzi?

mwachewangu

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
111
Reaction score
41
Sijui niseme kuna wakati unasoma malalamiko mengi yanaandikwa ni female ndo wanalalamika kuhusu aya mapenzi..

Ila nimefatilia sana nimegundua MALE ndo wanaumizwa sana kimapenzi na ugumu wa maisha..

Je MALE kweli ndo waanga wa mapenzi kuliko FEMALE, Nini Mtazamo wako?
 
Wanaume tumeumbiwa shida. Yaani ni kula kwa jasho. Hakuna kitonga mwaume ni kupambana na Sio ubwetebwete tu
 
Matatizo yapo kotekote ndg, haina maana ukisema saaana ndo iwe kigezo cha kuthibitisha kuwa una changamoto!
 
Basi tuchukulie wanAume sio wavumilivu na shida za mapenzi maana ukiangalia ata umu jf malalamiko mengi ni ya wanaume..Mara mpenzi wangu ivi Mara vile...
 
Tatizo la wanaume hawajui kuvumilia kitu kidogo tu wanakuja kulialia huku!!! Siye twaumia ila twaendelea kuvumilia!!
 
Yaweza kuwa, wanawake nao hupitia changamoto sana tu. Pengine walishazoea toka jadi thats why wana take easy.
 
Basi tuchukulie wanAume sio wavumilivu na shida za mapenzi maana ukiangalia ata umu jf malalamiko mengi ni ya wanaume..Mara mpenzi wangu ivi Mara vile...
Kweliii maana hata wakiombwa hela wanakuja kusemeleaa Jf so sio wavumilivu kabisaaaa
 
Tatizo tunapambana na ambayo ata ayastaili kupambana nayo
90% yako ndani ya uwezo. Mfano kumfanya BAE wako apendeze ni wajibu wako na Sio ombi. Shida ni pale mwanaume anapokuwa mwoga kutake responsibility. Yaani mtoto wa Watu anakupenda unashindwa ata kumnunulia pichu. Sasa akikupiga chini unakuja lia lia hapa. Uanaume Sio suluali ni majukumu. Ila majukumu yasizidi uwezo wako wa kipato. Cha muhimu Kama mnaelewana sana, ni kukaa chini na kutafuta ufumbuzi wa matatizo
 
Ili nalo ni neno apa kwenye majukumu uwa in shida sanaa
 
Hapana wanawake ndiyo sana
Ni kweli naungana na ww.
Wanawake ndiyo wanateseka ktk mahusiano.
Kusalitiwa hutokea kwa wote ila wanaosalitiwa sana ni wanawake.
Mm utanisaliti, ila kesho naweza kupata mwanamke anayenipenda, halafu ukiangalia wanawake wapo wengi wa kuoa lkn wanaume wapo wachache wa kuoa.
Suala la kuoa au kuolewa lipo kwa mwanaume. Mwanaume km hajaamua hajaamua tu.
Kitu kingine, wanawake wanamezea tu lkn ss tutaongea, mpaka utakuja jf kutoa uzi lkn mwanamke anakaa zake kimya.
Ss tukichokozwa kidogo tu unakimbilia JF, ukipigwa mzinga unaleta humu. Ukitongozwa unaleta humu, akitaka 0713 unaleta humu. Ushasikia kwa mwanamke?
 
Ulisha sema umegundua. Nilidhani ungeweka facts hapa ili tuone hiyo logic. Chakushangaza una tuuliza tena! Dah......
 
Sijui niseme kuna wakati unasoma malalamiko mengi yanaandikwa ni female ndo wanalalamika kuhusu aya mapenzi..

Ila nimefatilia sana nimegundua MALE ndo wanaumizwa sana kimapenzi na ugumu wa maisha..

Je MALE kweli ndo waanga wa mapenzi kuliko FEMALE, Nini Mtazamo wako?
Kwa Adamu alipewa kaz gan Ktk Kitabu cha mwanzo........? Je hawa/Eva alipewa kaz gan........? Me nnapita 2
 
Ni kweli naungana na ww.
Wanawake ndiyo wanateseka ktk mahusiano.
Kusalitiwa hutokea kwa wote ila wanaosalitiwa sana ni wanawake.
Mm utanisaliti, ila kesho naweza kupata mwanamke anayenipenda, halafu ukiangalia wanawake wapo wengi wa kuoa lkn wanaume wapo wachache wa kuoa.
Suala la kuoa au kuolewa lipo kwa mwanaume. Mwanaume km hajaamua hajaamua tu.
Kitu kingine, wanawake wanamezea tu lkn ss tutaongea, mpaka utakuja jf kutoa uzi lkn mwanamke anakaa zake kimya.
Ss tukichokozwa kidogo tu unakimbilia JF, ukipigwa mzinga unaleta humu. Ukitongozwa unaleta humu, akitaka 0713 unaleta humu. Ushasikia kwa mwanamke?
well said
 
Back
Top Bottom