Hivi kwanini? Nini tatizo?

Hivi kwanini? Nini tatizo?

Worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,933
Reaction score
3,776
Wakurawaytu.......!!!!

Kwanza kabisa tuanze na mtu mzima jah cure -(stronger) scriptures riddim
[Chorus:]
Come away in a dream
Life is not what is seem
Happiness don't always live forever
But my love is getting stronger everyday
Stronger everyday

Twende kazi:
Mapenzi ni matamu sana yakiwa machanga,yanafanya wapenzi wawili waishi kwenye dunia ya pekee yao ambayo everything seems to be green, yanakufanya utake kuwa na mwenza wako kila dakika na sekunde ipitayo.
I wish this experience could last forever lakini kibaya zaidi ni kwamba this experience lasts for a very short period of time.
Haya mawazo yamenijia baada ya kusikiliza kibao cha jah cure akisema "his love is getting stronger everyday" wakati upande wangu "ya nafifia siku hadi siku" nini tatizo?
Vipi wewe mwenzangu ni kama jah cure? au nikama worldboss anayelialia hapa kwenye jukwaa?
 
Yangu yalikuwa matamu kwa mwaka mmoja na nusu baada ya hapo nyongo mkaa na ini akanitafutia sababu, sasa hivi anarudi kwa spidi wakati nshamfungia vioo
 
Ulishawahi kula bublish lakini, ule utamu wa mwanzoni veepe ndo mapenzi hayo, ukiamua kuchovya kwenye sukari ili kuongeza utamu ni juu yakoooo
 
Back
Top Bottom