Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari zenu humu ndani,natumai mu wazima,mimi si mzima sana kwa muda sasa ndo mana sionekani humu AMA naonekana lakini katika hali ya unyonge. NINA LENGO LA KUELIMISHANA TU SISI HUMU WANA MMU...
2 Reactions
89 Replies
13K Views
Nauliza hivi kumpost mke wako tena wa ndoa anaepatwa na maswahiba yoyote Ni kumsifia Au kumdhalilisha. Huyu mtu amemsifia Au kumdhalilisha mkewe... Yamkini alitaka kuwadhihirishia umma mke wake Ni...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Am Josephina from Dar es salaam, nimeajiriwa, nina miaka 33, msomi mwenye elimu ya chuo kikuu, mwembamba sio mrefu sana wala mfupi ni wa wastani, chocolate colour nimeokoka nampenda Yesu hivyo...
4 Reactions
29 Replies
7K Views
Pengine tukielekea 2013 ni maombi yangu kwa mungu haya maisha ya ndoa za kuolewa mpaka ujazwe mimba basi mwisho wake uishie 31dec2012 saa tano na dk 59 katika ndoa nilizohudhuria mwaka huu kati...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Natafuta msichana mrembo nitakaezaa nae mtoto mmoja ...... maslai ni kama ifwatavyo 1. Katika kipindi cha miezi tisa ya ujauzito nitamlipa sh 10000 kwa siku sawa na laki 300,000 kwa mwezi hadi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Luke Gibbons started viewing online pornography when he was a teenager and by the end of university was addicted to it Luke Gibbons looks like any other young Australian guy. The 29-year-old has...
0 Reactions
46 Replies
10K Views
mwezi wa 4 niliwekwa rumande segerea kwa kesi ya kusingiziwa kubaka japo si kweli kutokana na kua jela mda mrefu nilipotoka tu nikasema niende kinondoni kwa ajili ya kujiliwaza na kujitoa uchovu...
3 Reactions
60 Replies
15K Views
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa.Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu Wa kiume Wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
VIPI ULALE NA DERA Wajishuku kitu gani Na mume ni wa halali!!! Na madera kitandani Ama ni yako asili??? Meitundika mwilini Kwani ulifuata wali??? VIPI ULALE NA DERA WAKIFICHA KITU GANI...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Za leo wana MMU, Let us share faragha uliyoipata ukiwa na mke/mpenzi wako. Jambo gani la kufurahisha sana unapokumbuka moment za penzi lenu.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF, Ni siku nyingine tulivu namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku hii ya Leo maana wengi walitamani lakini hawajafanikiwa kuiona na wengine wapo mahospitalini eeh Mungu...
10 Reactions
141 Replies
12K Views
Ni pastor mmoja nchini Africa Kusini aitwae Letsego alijiua baada ya kugundua kuwa ametuma picha yake ya utupu kwenye group ya whatsup ya kanisa lake. Pastor huyo alituma picha ya uume wake...
2 Reactions
57 Replies
9K Views
Siyo siri kuwa Kanisa la Kirumi la Kikatoliki linaanza kuuona mwanga na ukweli. Kama mizengwe na unyanyasaji na urushi havitarudiwa, kuna haja ya kulipa shime na heko kwa kuachana na unafiki na...
2 Reactions
41 Replies
23K Views
Habari, Kuna maisha baada ya kupigwa chaga/kukataliwa. Huo ndo moto wangu waleo. Vijana wengi wanapata tabu sana baada ya kupewa majibu wasiyotarajia baada ya kufanya mtongozo, tumeshuhudia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna tamanduni mbaya ambayo inataka kulikumba taifa letu katika sehemu mbalimbali za nchi kuhusiana na uvaaji wa nusu uchi kwa wanawake, kama kawaida yangu nikiona jambo lazima nilifanyie utafiti...
9 Reactions
192 Replies
28K Views
Inakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba, yapata miezi miwili au wakati mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa. Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo...
6 Reactions
146 Replies
18K Views
Salamu kwako, Jamani mawasiliano, mawasiliano, mawasiliano why #matatizo huwa hayaishi? Mimi nimekuwa nashindwa kuelewa juu ya mawasiliano kati ya wanaume na wanawake hadi leo sababu yana mengi...
5 Reactions
96 Replies
12K Views
Tukiwa kama vijana wa rika tofautitofauti naona hatuna budi kuyafahamu machache tuwapo katika mahusiano kabla ya ndoa. Maana ni katika mahusiano ambapo ndoto za kutimia kwa ndoa huanza na kumea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Anajua kupika chakula vizuri. 2. Anajua kula vizuri na kuuweka mwili wake katika afya nzuri sio anakua bonge hadi anashindwa kutembea na mwili wake mwenyewe. 3. Anajua kuvaa vizuri na...
12 Reactions
93 Replies
16K Views
This has to be one of the best messages I have received because when you sit and think about it.... It is so true! One day I hopped in a taxi and we took off for the airport. We were driving in...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…