Swenailie
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 240
- 230
Nauliza hivi kumpost mke wako tena wa ndoa anaepatwa na maswahiba yoyote Ni kumsifia Au kumdhalilisha. Huyu mtu amemsifia Au kumdhalilisha mkewe... Yamkini alitaka kuwadhihirishia umma mke wake Ni mwamwinifu sana. Hivi endapo mtuhumiwa akishinda Kesi itakuaje? Na sku akimkuta Huyu mwanamke analiwa si ndo ataanguka na tayar ashaleta mambo kwenye media. Wanaume bhana muwe mnajiongeza mihemuko itibuni kium
e.