Worldboss
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,933
- 3,777
Habari,
Kuna maisha baada ya kupigwa chaga/kukataliwa.
Huo ndo moto wangu waleo.
Vijana wengi wanapata tabu sana baada ya kupewa majibu wasiyotarajia baada ya kufanya mtongozo, tumeshuhudia vijana wakiyumba katika mambo ya msingi ya kimaendeleo na wengine kufikia hatua ya kijitoa roho kabisa kwasababu ya kukataliwa maombi yao.
Hivi wewe kijana nani alikwambia kwamba ukitongoza lazima ukubaliwe? Nani alikudanganya ivyo? Kukataliwa si sababu ya wewe kuwa stressed, depressed na kukosa raha za maisha. Zinduka kijana, kuna watu wengi sana katika hii dunia ambao wapo tayari kuwa na wewe.