Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
1. Anajua kupika chakula vizuri.
2. Anajua kula vizuri na kuuweka mwili wake katika afya nzuri sio anakua bonge hadi anashindwa kutembea na mwili wake mwenyewe.
3. Anajua kuvaa vizuri na kujiweka katika hali ya usafi yeye na mazingira yanayo mzunguka, hapa sizungumzii urembo.
4. Anajua kuongea vizuri na watu na si mwepesi wa hasira.
5. Anajua kusoma na kuandika kiswahili na kingereza.
6. Anampenda Mungu.
7. Ongezea sifa nzuri ya mkeo ambayo haijatajwa hapa.