mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
Jf oyeee...(Kwa jinsi JF inavopingwa siku hizi hadi bungení na wakuda mtalazimika tu kusema oyeee)
Naam kwa mara nyingine tena kama ilivo kawaida ya vichwa makini vya JF nimeuleta huu uzi ili tuujadili na share ideas hasa kipindi hiki ambacho kina magonjwa mengi ya kuambukiza ya zinaa kama HIV,gonorrhoea,syphilis,chlamadia ,Hepatitis,Cervical cancer(cacx) etc
Kutokana na utundu wa binadamu watu wengi wamejikuta wanaiga style za kufanya mapenzi mbalimbali ambazo mojawapo ambayo kimaadili ni halali ni oral sex ambapo aidha mwanamke anaweza kunyonya sehemu za siri za mwanaume+ku kissiana n.k na viceversa vilevile mwanaume kunyonya sehemu za siri za mwanamke na sehemu zooote zenye mhemko(erogenic zones)
Mwisho kabisa watu hawa wanafanya sex yenyewe kwa kuvaa condom(protected sex) ndipo wanamaliza mchezo!!
Sasa swali linakuja je katika mchakato huo wa kunyonyana hadi baadae wanapoingiliana ndo wanavaa condom mtu hawezi kupata maambukizi ya Hayo magonjwa yaliorodheshwa?na kama ni ndio waelimishaji wa magonjwa ambukizi haya wanashauri nini kifanyike kukabiriana na hili maana sijui umagharibi au raha zinaweza kutuua!!
Ni hayo tu wakuu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums