Nimeamua kutafuta pesa, Am sweet Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Nimemaliza kaelimu kangu kadogo mwaka huu. Nimefanya uhuni mpaka sikumbuki nimegegeda wangapi. Kuna siku nilikuwa nawahesabu wengine nilikuja kuwakumbuka baada ya siku mbili.

Nimeamua kuingia utu uzima, now nina miaka 24. Uchafu na utumwa wa ngono sitaki. Mapenzi hurudisha maendeleo nyuma.

Sijawahi ridhika na papuchi, kila aliyepita mbele yangu nilikuwa namtamani. Sijapata faida yoyote katika papuchi zaidi ya kujipa sifa za kitoto. Kila muda nilikuwa nawaza kugegeda, yaani nikitoka kupiga/kutembea msicha mchana unakuta usiku nataka mwingine.

Nilikuwa mtumwa wa sex lakini sasa nimeamua kufanya maamuzi magumu, Nataka pesa. Natafuta pesa sio kwaajili ya kuja kufanya uhuni bali kutimiza nia yangu ya kuwa tajiri. Msichana wangu wa siku nyingi nae imebidi tuachane nijipange upya, najipa likizo ya miaka miwili.

Natafuta pesa kuja kujenga familia bora yenye nguvu kila idara kama rockefeller.

NGASTUKA.

Am sweet Mangi.
 
Hongera sana sana, ukitaka mafanikio ya upesi; Acha ngono ila ukitaka mafanikio ya kudumu jitahidi UOE
 
Amen amen lazima kwanza ulipe gharama kwa dhambi ulizotenda it is not my words but based in universe law you must pay your mistakes and sins!
 
Hongera sana sana, ukitaka mafanikio ya upesi; Acha ngono ila ukitaka mafanikio ya kudumu jitahidi UOE
Mkuu kuoa kwa sasa hapana.
Nimeweza vumilia kwa mwezi sasa sijui papuchi na hata sina mzuka nazo tena.
 
Amen amen lazima kwanza ulipe gharama kwa dhambi ulizotenda it is not my words but based in universe law you must pay your mistakes and sins!
Siamini kama kufanya ngono ni dhambi ila zinachangia umasikini.
Afu ni tubu kwa nani?
 
Ibilisi hebu acha umalaya uwashawishi na wafuasi wako waache uzinzi jmn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom