Wanawake ni kama watoto

Wanawake ni kama watoto

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,194
Reaction score
1,636
Mwanamke akili zake ni kama mtoto mdogo. Mtoto ukimzoesha kumtuma dukani chenchi unamwachia, siku usipompa chenchi haendi tena.

Mwanamke yupo hivyo hivyo, mwanamke hata akiwa na degree mia moja atalalamika tu. Ukitaka kuamini utawaskia "tunataka haki sawa", halafu huyo huyo utamskia anasema "mkituwezesha tunaweza".

Sasa kwanini wasijiwezeshe, ina maana hana utofauti na mtoto?
 
Sio kweli mpwa,. kumbuka unaposema mwanamke ni kama mtoto unamjumuisha na mama ako mzazi.. Muasisi wa msemo " mwanamke ni kama mtoto " alimaanisha hivi.

1. Ukiwa na mtoto ,mtoto wako hatakiwi kuwaza atakula nini, atavaa nini, etc. Wewe baba yake unapaswa kuwaza kwa niaba yake. Vivyo hivyo, mwanamke wako hatakiwi kuwaza atakula nini wala atavaa nini, atapata wapi hela ya kwenda saluni nakadhalika. Wewe mume unatakiwa kuwaza kwa niaba yake.

2. Mtoto anatakiwa kulindwa. Mwanamke wako pia anatakiwa kupata ulinzi kutoka kwako kama mume. Ulinzi wote kuanzia ulinzi wa kifedha hadi ulinzi wa kimwili.

3. Mtoto anatakiwa kupewa upendo wa hali ya juu sana, vivyo hivyo hata mke unatakiwa kuishi nae kwa upendo wa hali ya juu sana....

Katika tabia na hulka nyinginezo, kitu pekee ambacho mwanamke anafanana na mtoto, ni kimoja tu. THEY ARE SO EASY TO TRUST AND THAT IS BECAUSE THEY ARE TOO LOYAL BY NATURE...
 
Angalau umejitahidi kuelimisha! ingawa umechanganya sasa. Kila unachomfanyia mtoto kinastahili pia kwa mwanamke, what is the logical deduction from your statements- necesary conclusion ni ipi?
If A=B, and
B=C, what is the relationship between A and C
 
CXqgR6XWYAAIkvL.png:small
 
Hapana usiseme hivo kwa sababu utakuwa unadhalilisha bibi zako,mama zako,Dada zako na ndugu zako wa kike .. Kiujumla mwanamke ni msingi wa MWANAUME na wanastahili kuheshimiwa kwa 7b wao ndio nguzo zetu katika mafanikio yetu sisi wanaume
 
mwanamke ndiye aliyekuzaa, tumboni miezi tisa. akakesha nawe miaka yako yote haji umejitambua. Leo unasema mwanamke ni kama mtoto mdogo....

Wewe tukulinganishe na nani/nini??
Atakuwa alipasuka kutoka kwenye jiwe.
 
Back
Top Bottom