Tuliweka ahadi ya kuoana, leo amenigeuka

Tuliweka ahadi ya kuoana, leo amenigeuka

Mwanamke anataka vitendo zaidi sio maneno hujui asaivi tumechoka kusubiri, akitokea alietupia maneno ya kueleweka basi dira inabadilika
Unaamanisha sasaiv nimaneno navitendo nasio maneno bila vitendo
 
Man of the year hakuwa risk yako huyo nakingine sasa hiv tunapokuwa ktk mahusiano tunakuwa kama vile tupo vitani tunawindana so atakae muwahi mwenzie anamripua kwahiyo huyo amekuwah kukuripua kabla ujamuwah wewe
 
Pole sana, soma soma soma tu upate degree mapenzi baadae, uenda ukapata mwenye dhamani na mzuri na atakae kupenda kweli na ukafurahia maisha.

Mbona hata mimi nilimwambiaga mpenzi wangu anisubiri nipate japo cheti, akaenda kuoa mwingine.
somoe kama vile jina lamwalimu wangu aise
 
mamb vp wadau, mwenzenu yamenifik shingon binti tumehaidiana nmalze chuo niweke ndan leo ananipa habari kuna mchumb kaja kwao,ukcheck life yang bado sna nachoka.
nimeumia sna.
Pole sana unapaswa kumshukuru mungu kwa yote.maana amekuepusha na matatizo ambayo ungekuja kujuta baadae.
mke mwema na mume mwema hutoka kwa mungu.Hakuwa mke wako huyo.
 
Back
Top Bottom