marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Kamwene...
Kumekuwa na wingi wa wanawake wakilalamika kwamba wanaume hawatoi matunzo kwa wanawake wao..na kama wanatoa ni kidogo tu..haitoshi..vivyo hivyo wanaume wanalalamika kupigwa vizinga sana na wanawake...tena na wanawake wenye vipato vyao
Wanawake Wamezidi sana kusema wanaume wanataka kupewa raha wakati hawaigharamii,,hapa kwanza nauliza...je raha anapata mwanaume pekee??
Ninaendelea...haki sawa kila mahali....maofisini na shuleni...wanawake kwa wanaume tunaenda sawa...tena na bado wanawake wanawezeshwa zaidi..
Hata sina Mengi sana,kwa kuwa wanawake sasa hv wako sawa na wanaume,si kama zamani ambapo Mwanamke alikuwa ni mama wa nyumbani na kazi yake kubwa ilikuwa ni kuzaa kwa uchungu ..basi tusaidiane kutunzana..maana mwanamke ana kipato na mwanamme pia....tuhpeane pesa..sio mm nakupa pesa..wewe haunipi...wakati raha tunapata wote..yaani kujipinda nijipinde halafu nikupe na hela..wkt wewe pia una kipato chako...wewe kipato chako unatumia na nani..??.kama ni ndugu na mm ninao.
Tuoneshe haki sawa kwa vitendo..tushare vipato vyetu kwa raha zetu...hii ndio share is caring.
Kama hilo hamtaki...acheni kuziendeleza ngonjera za HAKI SAWA...na kama mnataka sisi tu ndio tuwatunze nyinyi pasipo nyinyi kututunza sisi...acheni shughuri zenu zote zinazowaingizia kipato mtuachie sisi wanaume tufanye...nyinyi mbakie nyumbani msubiri kuzaa kwa uchungu..
Pambele..Inguruvi ivatangage.