Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mshkaji ilikuwa ampokee wifi ubungo stand SAA mbili usiku ila akawa na kazi ya nje mitaa ya ubungo maziwa , akafanya yake kwa nguvu ya nyagi Kukurupuka Shee yuko stand anapiga cm non stop Ile...
11 Reactions
81 Replies
9K Views
Mimi ni mwanaume mwenye 30s nina elimu ya kutosha na hela ya kula siyo tatizo. Natafuta mwanamke mtu mzima awe anajitambua. Awe flexible ninapomhitaji awe tayari. Awe mrembo na awe anaishi mkoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika nchi ya Kufikirika mkoa wa Kusadikia majirani wawili wote wakiwa viongozi wa ngazi ya mkoa, Ali akiwa bwana mifugo wa mkoa na David alikuwa mhasibu wa mkoa. Mke wa David alikuwa pia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale mnaotazama Maisha Plus 2016.. Kuna binti mmoja anaitwa Pilly Ngenda mshiriki kutoka Burundi, hakika ananikosha sana kwa uzuri na urembo wake. Kwa tabia na haiba yake. Huwa sikosi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Unaweza ukamkuta mwanaume anahonga nyumba, wengine magari wengine pesa hadi mashamba na mifugo haswaa kwa wanaume wa mkoa ,,yaani kila mtu anahonga kwa hadhi ya "papuchi" anayohitaji kuionja Na...
13 Reactions
54 Replies
7K Views
pokeeni salamu zangu, miezi miwili iliopita niliingia kwenye mahusiano na binti wa chuo yeye akiwa field mbeya, leo ndio ilikua siku ya kupewa tunda na kwa muda wote nilikua nimejianda vizuri...
7 Reactions
66 Replies
6K Views
Maalum kwa wanaume tu.Wanawake mkisoma mnapofuka macho shauri yenu
0 Reactions
0 Replies
3K Views
KISA CHA MAMA MKWE WA MWENDO Kasi. Kuna jambo la kujifunza hapa kiukweli. “Mpaka sasa hivi bado anaendelea kukupiga?” Mama John alimuuliza mkwe wake." Ndiyo mama tena amezidi, yaani kila siku...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu nlipata shidaa sana kung'amua ni kwa vipi wanawake wengi hufumaniwa wakiwa na mchepuko ndani na wakashindwa kujishangaa hapa ashamfumania akiwa na kidume ndani but nlipata shida sana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Michael na Judy wamekuwa marafiki kwa miezi mitatu, na Judy anasema “anampenda sana.” Michael pia anampenda Judy sana na hata humwambia jinsi anavyopaswa kuvaa, watu anaopaswa kushirikiana nao, na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mwisho wa wiki wandugu? Ashukuliwe Mungu kuwa tuwazima na tumekutana tena hapa. Wandugu kuna hili suala la wazazi kuingilia maamuzi ya ndani ya maisha ya vijana wao, ni kweli kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi Brothesr and sistesr, Kwanza kabisa napenda kuwashukuru sana members wote humu maana mmenisaidia mengi sana kama miaka 2 iliyopita niliomba ushauri humu mkanisaidia ndoa yangu ilikua inakwenda...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Habari za jumapili? Kuna haya maswali common ambayo nadhani wanawake wa kitanzania hurithishana kuwauliza wapenz wao,asa sijui ni kutokujiamin au vipi! 1.uko wapi? 2.uko na nani na mnafanya nin...
2 Reactions
72 Replies
5K Views
Jambo wana JF! Nimekuwa na huyu mwanamke karibia miaka miwili sasa, mwanzoni mapenzi yetu yalishamiri sana nilimpenda sana na hakuna shaka lolote kuwa nae alikua akinipenda sana. Ameanza vituko...
1 Reactions
50 Replies
9K Views
Mimi ni kijana nina miaka 27 npo Dodoma ni mfanyabiashara wa kawaida natafuta mwanamke wa kweli wa kuoa mwenye mapenz ya kweli maana nmekuwa na wanawake ambao wameumiza sana moyo wangu kwa kipind...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
jaman nlikwakumbuka sana nlisahau password so nkawa nakuja kama guest tuu aya twnde kwenye mada sasa naombeni mnielekeze jinsi ya kufunga PM...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za mda huu marafiki hapa, Niende kwenye mada moja kwa moja, Tendo la ngono hasa kwa wanaume naona limechukuliwa kwa uthamani mkubwa, kwani utakuta mwanaume anapoanzisha urafiki na...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu, Tunaomba wale ambao waliweka thread ya kutafuta wake, waume na wapenzi humu watuletee mrejesho kama wamefanikiwa na wanaendeleaje.
2 Reactions
21 Replies
2K Views
#JAMBOLEO UTAFITI Imeelezwa kuwa ufanyaji wa tendo la ndoa mara nyingi hupunguza uwezo wa mwanaume kumpa ujauzito mwanamke hasa kwa vijana. https://t.co/XWYgX4juJw
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom