[emoji3][emoji3]wewe ni sinta kweli au?
ukifunga pm mimi nitakupata wapi tenajaman nlikwakumbuka sana nlisahau password so nkawa nakuja kama guest tuu
aya twnde kwenye mada sasa naombeni mnielekeze jinsi ya kufunga PM [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
hebu twende kule pande zetu tukajadili mambo ya ndani[emoji3][emoji3]
Karibu tenajaman nlikwakumbuka sana nlisahau password so nkawa nakuja kama guest tuu
aya twnde kwenye mada sasa naombeni mnielekeze jinsi ya kufunga PM [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Nipo nakuona unamkimbiza yule jamaa [emoji28][emoji28]hebu twende kule pande zetu tukajadili mambo ya ndani
hapana blog ipo?ndo mm vip tunafahamiana