Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

Kwa kutumia data za mashirika mbalimbali yanayofanya utafiti kuhusu maambukizi ya magonjwa yanayotokana na zinaa kama Ukimwi, kaswende, kisonono na mengine (assumption: kundi lililoathirika zaidi...
14 Reactions
111 Replies
21K Views
Habari za wikiendi wadau. Nina mpenzi Wangu kamaliza hedhi Siku ya Jana sasa yeye anataka tugegedane Leo. Nimekuja kuomba ushauri kwa wanaofahamu ni baada ya muda gani baada ya mwanamke...
0 Reactions
64 Replies
3K Views
Habari wana mmu
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Tabia yangu hii ya kuwa natamani kila mwanamke mrembo, naichukulia kama ujinga wa hali ya juu nilionao,yaani huwa sipitwi, akionekana binti yeyote mrembo hasa aliyejazia makalio vyema, mrembo wa...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
katika stori zitakazokutisha ukiwa mwanaume ni simulizi za machungu na maumivu ya tohara, ni nani jasri akikumbukaa ilivyokuwa kama anaweza kusema hata ingekuwa inarudiwa kila mwaka yeye...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
habari zenu wadau wa jf,napenda kuuliza hivi kati ya mwanamke na mwanaume ni yupi anaweza kukaa mda mrefu bila kusex?
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wana JF. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitamani kuwa na mahusiano serious ambayo yatapelekea. Kama bahati au mkosi mwezi february mwaka huu kuna binti nilionana naye kituo cha basi na...
0 Reactions
286 Replies
20K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu, mimi ninaamini sio Tanga tu ndio eneo pekee wanaojua mapenzi. Hata hapa kwetu MBEYA wapo mabinti wengi wanojua mapenzi tena zaidi ya watu wa Tanga nina...
0 Reactions
541 Replies
46K Views
"HAKI SAWA" ni msemo au wazo lililoletwa na wanaharakati wa haki za wanawake hapa ulimwenguni ili kutengeneza msingi wa mfumo mpya ambao unalenga kumtetea mwanamke kutokana na aina tofauti za...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
365 nights of a Tanzanian wife... 60 nites periods. 55 nites headache. 50 nites I am tired. 45 nites I am angry. 40 nites I have to get up early. 35 nites its too late now. 30 nites I am...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na...
0 Reactions
208 Replies
11K Views
Nilikuwa nasoma na kusikia ishu za kina Vicky Kamata lakini leo limefika mikononi... Mdogo wangu alitaraji kufunga ndoa hivi soon shughuli zoote mnazozijua za maandalizi zilifika ukingoni... Siku...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Heshima zenu. Jamani kuna jirani yangu baba flani hapa hurudi nyumbani kalewa chakari kila siku, na humpiga mke wake tena mbele ya watoto wake. Kila siku majirani tunasikia watoto wakilia kisha...
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Natafuta mpenz mtu mzma wakua naye maishani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe...
3 Reactions
113 Replies
14K Views
Habarini za wikend great thinkers, heshma yenu.swali> Hivi ni kweli kuwa wanawake wote wanaoingia katika ndoa wana mapenzi ya dhati kwa waume zao au kuna sababu nyingine zinazowavuta kuingia...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
jamani nimepata nimpendae, nahisi ananipenda sana sana,naombeni ushauri wenu wadau nitajuaje ananipenda.Kwani kwa upaande wangu anasifa ninazohitaji kwa mwanaume nae anasema ananipenda nitajuaje...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Nilikua na boyfriend wangu tukaachana akaja kuoa, sasa alikua na mdogo wake, akawa anamtaka rafiki yangu akanambia nimuunganishie ndipo tukapeana namba za simu na kweli akafanikiwa kumpata sababu...
3 Reactions
105 Replies
8K Views
  • Closed
Kuna mambo huwa siyavumilii na hata kama Mungu hapendi ukionyesha kunidharau huwa narudisha heshima yangu kwa gharama yoyote. Hapana, siongelei habari kulialia kwa sababu ya kuachwa na mwanamke...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Jamani jana usiku nilikuwa naongea na mpenzi wangu ambaye ni mwanafunzi na mda huu yupo shule.but nikagundua kaniweka loudspeaker na rafiki zake wanacheka navyoongea nae nikagundua wanacheka...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Back
Top Bottom