shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,441
- 3,613
pokeeni salamu zangu,
miezi miwili iliopita niliingia kwenye mahusiano na binti wa chuo yeye akiwa field mbeya, leo ndio ilikua siku ya kupewa tunda na kwa muda wote nilikua nimejianda vizuri matikiti nimekula, supu ya pweza kila siku, ugali sembe usiseme na mazoezi nayo sio haba.
pamoja na show za mara moja moja nilizokuwa napiga zote nilisimamia vizuri ila nashangaa leo nimeflop kwa kiwango cha juu yaani bao 2 zote chin ya sekunde 20 na mpenzi alisema leo atalala sasa kazira anadai anaenda kupeleka mizigo chuo hivo kaondoka.
nasikitika sijui kimetokea nini binti ni mzuri ananiambia nisijali anajua sijapenda ila hii aibu naificha vipi na nini nifanye isijirudie.