Tunaomba mrejesho baada ya kupata wapenzi humu JF

wengine wana watoto
family.png
 
Hakika mimi ni mmojawapo wa kushuhudia nimepata mke kupitia humu na sasa hivi ni mjamzito soon tunategemea baby boy. Wanaobeza kuwa huwezi pata mke humu wana lao jambo tu
Weka basi kapiiicha naana huku ndo baba senu na mama senu
 
Usanii wa mahusiano upo popote pale penye mkusanyiko wa watu uraiani, vyuoni, makazini etc. Ndiyo sababu humu kuna malalamiko mbali mbali ya waliotendwa sehemu kama hizo.

Kama ni usanii wa mahusiano basi upo humu... Kwanza wengi hawapo serious unaweza date nae ila suala la kuja kuonana ni mtihani mkubwa ... unaweza sema wote ni invisible.
 
Wengi wamefurahia, waliotaka kuoa wameoa na waliohitaji wa muda mfupi pia wamepata. Mpenzi haijaalishi umempatia wapi, hisia zenu ndio zitakazowaweka pamoja
 
Wakuu,

Tunaomba wale ambao waliweka thread ya kutafuta wake, waume na wapenzi humu watuletee mrejesho kama wamefanikiwa na wanaendeleaje.

NAJIPANGA NA MIMI SIKU MOJA NIJILIPUE KUTAFTA ila mama nyambuge ni mkali mmm
 
Back
Top Bottom